Recent content by Precious U

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Kweli Kabisa Angekua Ana Msimamo Binafsi Asingeleta Habari Yake Hapa, Kwanza Ipo Kimalalamiko Na Si Kutaka Ushauri Hasa Namba Moja... Huyu Hata Siri Za Chumbani Atakua Anawasimulia Majirani... Kwa Mtu Unayempenda Na Kumthamini Hata Huwezi Kuja Kumwandika Humu.. Kuna Mambo Mengine Unatakiwa Uamue...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Tungeshauri Uachane Naye Ungefanya Hivyo Kwani Mpaka Umeleta Jukwaani Ni Kwamba Ww Huna Msimamo Binafsi Ndo Mana Umeleta Kwa Wadau Na Kwa Mantiki Hiyo Ingetokea Wote Tunakwambia Achana Naye Ungekubaliana Nasi.. Take Care
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Kumbe Yote Haya Ni Kwasababu Hana Kazi. Tafuta Wenye Kazi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Ya Ngorongoro Lipeni Nauli Za Walimu Wapya

    Jamani Lipeni Nauli Zetu, Wilaya Yenyewe Iko Mbaliii Halafu Bado Mpo Kimya.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu: Hawa 491 pesa yao itaenda wapi?

    Mkienda Kule Mtasikilizwa Na Mtapata Jibu Papo Kwa Papo, Msikate Tamaa Na Kama Unaweza Jitose Uende Hata Pekee Ako Usisubiri Uwe Na Wa Kuongozana Nao Coz Siku Zinazidi Kwenda.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu: Hawa 491 pesa yao itaenda wapi?

    Huwa Wanatoa Mpk Awamu Ya Tatu, Nendeni Mapema Ikiwezekana Hata Kesho Haiwezekani Mkaachwa Kwani Ni Haki Yenu Kuajiriwa.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka 2219 hadi 1709 hii nini maana yake?

    Inaumiza Sana, Ila Wasikate Tamaa Waende Tena Tamisemi Dodoma, Mungu Atawapigania Na Kuwapa Haki Yao.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    Ndio, Halafu Kuna Mtu Nilisoma Naye Wametoa Jina Mara Mbili, TAMISEMI Hawako Makini.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    Poleni, Naumia Sana Kuona Kuna Wenzangu Mmeachwa Tena, Nendeni TAMISEMI mjue tatizo nini kwani sababu walizotoa hasa ya umri haijajitosheleza.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka 2219 hadi 1709 hii nini maana yake?

    Kwa wale ambao hamjaajiriwa poleni sana, ila nendeni tena wizarani mkajue tatizo nini pengine barua zenu zilikua hazina viambatanisho( Vyeti) kwani nimeona hilo nalo wameligusia. Na kama idadi waliyosema ni tofauti na waliyotoa basi kuna uwezekano mkubwa mkaajiriwa mapema mwezi ujao. Nawaonea...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nimesota mtaani hadi basi!!!

    Asante Mungu Kwa Kutenda. Fanya Njia Kwa Wale Waloaschwa Tena Kwani Wewe Ndiye Mtoa Riziki Kwa Wanadamu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nimesota mtaani hadi basi!!!

    Mawazo Ya Mungu Si Kama Mawazo Ya Wanadamu, Hakuna Jambo Lisilowezekana Kwake, Yale Ambayo Tunaona Ni Magumu Kwa Mungu Ni Mepesi Sana. Naamini Katika Mungu Tutaajiriwa Kwani Mungu Si Dhalimu Kama Tulivyo Wanadamu!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu, awamu ya pili

    Kuna Jipya?
Back
Top Bottom