Recent content by Prayuth

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

    Amezaa na bwana mkubwa, na taarifa zinasema wana watoto watatu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

    Mh. Makinda amesema ametangaza Bungeni kuwa Mh. Nassari atafunga ndoa Jumamosi, ila hakusema atafunga ndoa na nani? Mh. Nassari ni member humu nadhani atatudokezea kidogo. Hongera saa Mh. Nassari. ==================== Matukio ya sherehe ya sendoff
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umechelewa kuleta posa

    Ok. Shukrani Kamanda.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Seriously natafuta mchumba-PM

    Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza, Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni ya chuo, natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke, awe na kazi yoyote halali na awe anaishi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa kike

    poa poa usijali
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa kike

    ok, msijali mi ni Mwanaume bhana so worry not!
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameshajua nampenda, basi ndio ananikomoa

    Mkuu hii ni laana ya yule wa kwanza uliyemwacha, moyo wake unakusononekea wewe kila muda. Take care mkuu.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba kakataliwa kisa shepu

    acha ushamba wewe, kila mtu na chaguo lake, wewe kama moyo wako hujampenda huyo kaka sawa, lakini eti umuache kisa mwembamba? kwani yeye alipenda awe mwembamba? kwa nini hao dada zako hawakukwambia toka zamani kuwa ikiwa unatafuta mchumba basi tafuta mnene? hadi umempotezea kaka wa watu muda...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa kike

    Mi ni He
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa kike

    Wakuu habari! Najitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye yupo serious tu, awe kanda ya ziwa, akiwa Mwanza itapendeza sana, awe Mwalimu au Nurse, akiwa mwalimu itapendeza zaidi, awe na umri wa miaka kuanzia 20-25. Mimi elimu yangu ni degree na nipo kazini, nina miaka 27, aliye tayari ni PM.
Back
Top Bottom