Lara my dear,,,ushauri wa bure....think of how to turn these stories into money,,I know huvungi kwenye swala la pesa.
Tena ungeongea na producer mmoja mkali mnatoa movie au series kabisaaa itapendwajeeee?
khaaa huyo Linda ashaanza kuniboaaaaa...how cau even think of a man aliyekuaibisha vileeee loooh.Halafu mwanaume gani unaweza kuoa mwanamke ambaye tyr umeshamuexpose kwa watu loooh
Hi,kuna hii tendency nimekuwa naiona kwa akina mama waliozaa watoto waliowatosha,wanafunga kizazi kabisa ili kuepukana na hizi njia na uzazi wa mpango ambazo zina madhara kadha wa kadha.
Naombeni kujuzwa kama kuna madhara yoyote kiafya kufunga kizazi maana nimesikia wengine wanasema ukifunga...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 26.Miaka minne iliyopita nilikuwa na boyfriend ambae nilimpenda sana lakini kwa bahati mbaya katika safari yetu ya mapenzi ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na mapenzi ya dhati kwangu kwa sababu nilikuja kugundua ana msichana mwingine.Kwa...
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani...
Nashukuru wote kwa mawazo yenu!mwanzoni mimi sikujua kama linapaswa kuniumiza kichwa,lakini wadogo zangu walipokuwa wanakuja kunitembelea na kumkuta mume wangu anaongea kilugha kwenye simu ndipo wakaanza kuniuliza kwa nn anaongea hivyo wakati mimi sielewi!tena ikatokea marafiki zangu walikuja...
Habari zenu jamani, mimi ni mwanamke mwenye watoto 3 na mume wa ndoa! ndoa yetu namshukuru Mungu anatusaidia tunaishi vizuri kwa maelewano.
Shida yangu ni kuwa mume wangu ni kabila tofauti na mimi, sasa yeye anapenda kweli kuongea kilugha na ndugu zake either kwa simu au hata wakija nyumbani...
Habari wana JF, mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 26, mwaka 2012 mwezi wa tano niliumwa sikio sana kiasi kwamba ukipita upepo kwangu ni maumivu.
Nikaenda hospitali wakaniambia uchafu umejaa, wakanisafisha, nikapona kabisa. Mwaka jana desemba likauma sikio la kushoto maana la mwanzo lilikuwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.