Recent content by Pravda

  1. P

    JamiiForums Tanzania Angalia hizi barabara

    Planning!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Ngoja nifanyie kazi hili. Hii simu ina-bore sana!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Hii inaweza kuwa sababu!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Sawa mkuu kama kuna mtu ameweka line ya voda ikafanya kazi naomba maelekezo tafadhali, nimeweka Voda imekataa.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Ok, nimeingia kwenye BB world na kwenye hiyo link pia, bado inaleta the same error! Na bado nadhani ni original, sababu nililetewa na mtu ambaye aliinunua siku mbili baada ya kutolewa, tatizo ninalolipata bado nadhani ni network! Inakata sana na pia sometimes inaandika insert simcard! Nadhani...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Ok, mwezi wa nne nilienda hapo na tigo pia, hawakuwa nazo na walikiri haziko supported na simcard zao, kama sasa wameleta ntapita, asante sana Mkuu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Nadhani hiyo inaweza kuwa sababu, hizi simu zinakubali simcard za airtel tu, sasa mtandao wa airtel naona hauko stable sana kwa hii simu, unakatakata sana, asanteni sana naendelea kujaribu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Inafika mwisho kwenye ku download then inaleta ujumbe '' error installing application"
  9. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Asante mkuu ngoja nijaribu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka:- Ni simu gani inaweza kuwa na sifa hizi.

    Jaribu iPhone 4 au 5 bei ni around 1m.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Tunawaombea wote heri waliopatwa na ajali hiyo!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Blackberry z10-Msaada

    Naomba msaada kwa anayejua kuhusu hii simu, hasa katika ku-download applications mfano whatsapp, kila link inanikatalia, nitashukuru kwa ufafanuzi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ile kesi ya DECI, ile kampuni ya kupanda na kuvuna imeishia wapi?

    Ngoja tumalize issue za mabomu Arusha!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Hodi humu!
Back
Top Bottom