Recent content by powerfulman

  1. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kiukweli Raisi Magufuli Anastaili Pongezi Kubwa Sana, Kwa Wanaombeza Tusishughulike nao Pasipo Shaka Wana Matatizo yao Ambayo mimi Binafsi huwa siyaelewi.
  2. powerfulman

    JamiiForums Tanzania I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    pole sana, tupia namba yako kwenye inbox yangu
  3. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    si kuna majina walioita watu kwenye written mkuu, kwenye oral wakatoa namba ambazo ni ni watu wenye majina yao kwenye written
  4. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    izo namba za oral it means watu waliopita kwenye written ndio walipewa izo namba ambako kwenye written waliachilia majina
  5. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    wakichakachua tutajua tu, na tukijua tu hataachwa mtu salama pale sekretariet maana tutacompare majina ya walioitwa kazini ka yanafana na yale walioitwa kwenye oral kipindi cha nyuma isitoshe kanzidata kwa sasa kwa baadhi ya kada haina majina yaliyotunzwa mfano kwa kada ya hr kwasababu mchakato...
  6. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    achana kabisa na iyo mambo!!! mke wa mtu ni hatari
  7. powerfulman

    JamiiForums Tanzania Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    bila shaka, jamaa alitusua ile interview
Back
Top Bottom