Recent content by Powercef 5

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

    Linatumika vbaya hasa kwa diff gender, viwanawake vidangaji ofsini ndio zao zinajifanya kama vnatania dear dear kumbe ndio vna express upatikanaji, ukifuatilia tabia zao udangaji mtupu , hakuna mwanamke anayejiheshimu goes qrround calling Men majina ya kimahaba
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa na ukoo baada ya kuachana na salamu za Kisukuma

    Haupo peke yako, hata mimi nimeachana nazo salamu za majina ya umizimu na majina ya wachawi, baada ya kuokoka na kutambua lipo jina tulilokirimiwa lenye hadhi kuliko majina yote, wao wanune wapasuke watajijua maana hawana mbingu ya kunipeleka kwanza
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kabla ya Julian calender inasemekana kulikuwa na lunar calender, tafiti kuhusu hii na ndio iliyokuwa inatumika enzi za agano la kale mpaka jipya, Yaan siku zilikuwa determined signs of heavens/Mwezi
  4. P

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank hela zetu nani wanazitoa kwenye account

    Labda hackers
  5. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NHIF imeikosesha nchi utawala wa sheria

    Bila kuwalazimisha watumishi wa umma kujiunga na huu mfuko, sidhani kama kuna mtumishi mwenye akili timamu angebaki!!
  6. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NHIF imeikosesha nchi utawala wa sheria

    Mtumishi mbna umepiga kwenye mshono sana aiseeeeeee
  7. P

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Im looking for shaka ilembe whole season, mwenye anajua pa kuipakua help plz
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wasabato wanaamini kuwa Wakatoliki Wamarekani na Shetani wanakusanya nguvu kubwa ili kuwaangamiza mwishoni mwa dunia

    Hellow ndugu, can we share hyo ndoto?maana nami jana hyohyo niliota ndoto kuhusu mwisho wa dunia imenivuruga mpaka sasa sipo sawa jamani.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Ukishaona mtumishi anahubiri sana kuhusu prosperity, na hata akikemea dhambi lazima ai link na prosperity na sio kuokoa nafsi yako, wito wake anasema ni kuja kutoa ulokole wa kinyonge na kuwaaminisha watu kuwa ufalme wa mbinguni ni power, utajiri, mamlaka kama yale ya dunia hii yan yy anaamini...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Kapola ukimsikiliza kwa umakini in btn lines na kama nimsomaji Mzuri wa Neno na Roho mtakatifu yu ndani yako, utamshtukia faster..yule sio mtumishi wa Mungu bali motivational speaker tena wa ule upande mwingine direct kabisaa..ndi maana kuna topics hutamsikia anazigusa hata kwa bahati mbaya..
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Wawakilishi wapii? Hawahawa std 7 ,form 4 failures na degree za michongo?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Hawatakiwagwi popote hao div 1 , wanachukuliwa kama threats ,waajiri wakishaona ona tuu vyeti vya hvyo unawekwa benchi, wasomi na brain creams za hii nchi ningekuwa zinapewa fursa na kutumika ipasavyo, tusingefika mahala pabaya hivi yaani tungekuwa mbali sana!!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Kama unakiri waroma walibadili miezi na siku za mwaka, una uhakika gani kama hawakubadili Siku? Au ulitaka waje wakuambie tricks wanazotumia kuwachezea akili? Hvi nyie hamjiulizagi why mnawakashfugi sana waroma ila wala hawanaga time na nyinyi yaan wanawachekaga kichina
Back
Top Bottom