Recent content by power bank

  1. power bank

    Tunataka Mdahalo Live wa Magufuli na Lowassa

    Akafanye mdahalo na NANI....? Aiseee
  2. power bank

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Miezi miwili iliyopita LOWASSA also alikuwa mwanachama wa Chama Gani?
  3. power bank

    Kwanini wanawake wengi hawaolewi?

    Siku wanao uliowazaa na wanaume tofauti wakianza kutaka kuwajua baba zao ndio na kukuuliza kwanini kila mtu ana baba ake ndio utajua PESA sio heshima..
  4. power bank

    Kwanini wanawake wengi hawaolewi?

    Kuolewa Sio Lazima ila inaongeza Heshima. KUWA NA MUME KUNA HADHI YAKE.
  5. power bank

    Latest Series: Thread Ni Hii Hapa

    Haina noma Bob, niliishia ya 7 ngoja nikajichukulie torrent..
  6. power bank

    Latest Series: Thread Ni Hii Hapa

    Tyrant season 2 imefika episode Ya ngapi wazee?
  7. power bank

    Na mimi ni banker yamenikuta

    Laki mbili na nusu si trip TATU za Mawe/MCHANGA na Chenji inabaki 😳😳😳
  8. power bank

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Mmmh tuwe tunaweka na akiba Ya Maneno, Kuna Kuzikana asee
  9. power bank

    Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Kumbe External Hard Disc😳😳mi nkajua Toshiba Laptop..
  10. power bank

    Walichofanya CHADEMA kwa ZITTO sasa kinajidhihirisha!

    Mwacheni atetee tumbo lake..
Back
Top Bottom