Recent content by Pounds1000

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

    weka picha tushawishike
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Mimi zang nanyoa fresh tu.sipendi nywele mku.d.n. kwangu that's y napiga kipara kila time
  3. P

    JamiiForums Tanzania Access Bank yainunua rasmi Standard Chartered

    Hamna mzunguko mkubwa wa ela kutokana na changamoto za madeni,siasa,no. Kwaoyo standard chartered Kama wakopeshaji wakubwa katika soko wanaona mtaji wait haukui ndo maana wanaachia nanga.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu imefilisika mtaji kutoka milioni 50 hadi 15. Nifanye nini?

    Usithubutu iyo biashara kama hina soko/wateja wa uhakika wa moja kwa moja.kuna warangi ni madalali wa iyo biashara hatari na wanalijua soko na wanawateja wemgi pia Taguta wateja wako wa uhakika tu bila dalali au kama dalali anakuepo basi ujue pasenti anayochukua vinginevyo utafilisika. Pia...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara nyingi za Wasafi/Diamond hazidumu sokoni?

    Zingine zinawabia/wanahisa wakubwa zaidi ambapo wakiacha/wakipunguza uwekezaji wao nawe unashika ustaarabu wako.
  6. P

    JamiiForums Tanzania CRDB na mkwamo wa Mtandao wa Simbanking

    SA ABSA;STANBIC,UK STANDARD CHARTERED,FRANCE BNP PARIBAS. Don't try with kenya=the same difficulties as tanza ian banks but they atleast managed to solve more difficulries than tz banks
  7. P

    JamiiForums Tanzania CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    With absa u can still trust. 14%still under barclays uk plc. So the british culture z still present with african culture now. N barclays still the big share holder selling the previous shares to other the minority pepke n groups but all they are under 7% which makes barclays the biggest share...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Mh. Check statement n branch desk watakufafanulia.kuna card fees kwa mwaka=zinanzia 19800, 29800 nakuendelea ikiwa ni mastercard yakawaida/visa 19800 kwa mwaka,izo platnumz infinity and so on ndo zinaanzia 29800 kwenda juu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

    Unataka upewe terabite au? Ujui watu wakijaa mtandaoni mtsndao unakuwa mzito. Acha twende iv iv mpaka tukome wote
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tom boy ndani ya ghetto langu!

    Kwaiyo. Jaribu na bibi kizee
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi habari kuhusu hati fungani ni za kweli?

    Mahakamani vp? Hujachelewa kata rufaa buruza huko hadi mahakama ya biashara BRITISH VIRGIN IRAND UK WATACHEUWA ZAIDI YA WALICHOKULA MANINA ROHO IMENIUMA ADI NIMEKUNYA.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Njoo standard chartered wakununulie mkopo uo na ela unapewa. Cash loan adi 150m. Mortgage loan adi 1b.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho biashara ya madini 'third season'

    Kuna exporter/trader 1 dsm ananuaga madini yangu kwa bei tamu sana.ananiletea wateja kutoka us na wahapahapa bongo madealer napatana nao kupitia yeye then namuachia yake ya ofisi.ivo tu.yuko poa sana Yaani mimi ninachoangalia ninapouza madini yangu nataka bei ya soko staki janja janja dalali...
Back
Top Bottom