Access Bank yainunua rasmi Standard Chartered

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1689398992208.png
Benki ya Standard Chartered na Access Bank Plc zimefikia makubaliano ya uuzaji wa hisa za Standard Chartered katika kampuni tanzu nchini Angola, Cameroon, Gambia na Sierra Leone, pamoja na Biashara yake ya Wateja, Binafsi na Biashara ya Benki nchini Tanzania, kwa kutegemea idhini ya udhibiti.

Benki ya Access itasimamia shughuli zote katika nchi zilizotajwa, na kuhakikisha uendelevu kwa wafanyakazi na wateja. Mpito huo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 12 ijayo.

Aprili 2022, Standard Chartered ilifanya uamuzi wa kujiondoa katika masoko kadhaa, ikiwa ni pamoja na Lebanon, Angola, Cameroon, Gambia, Sierra Leone, Zimbabwe na Jordan. Benki pia ilipanga kuachana na Biashara ya Wateja Binafs na kupunguza Biashara ya Kibenki nchini Côte d'Ivoire na Tanzania.

Uuzaji wa biashara ya Standard Chartered nchini Zimbabwe ulitangazwa mwezi Juni, na uondoshaji Mtaji kutoka Jordan ulianza mwezi Machi 2023. Kwa makubaliano haya, Standard Chartered inakaribia kukamilisha mchakato wake wa uondoshaji mitaji kwa masoko yaliyotajwa isipokuwa Côte d'Ivoire, ambapo majadiliano na wanunuzi wa mauzo ya biashara ya CPBB yanaendelea.
 
Wale waliokua wakiibeza hii bank ya access kwasababu wanatoa riba kubwa kwenye fixed account wameumbuka Sasa
 
Access bank haiwezi KUINUNUA Standard Chartered Bank kama kichwa cha uzi kinavyosema.
Std Chtd Bank wame "divest" au kuuza baadhi ya co tanzu zake ikiwa mkakati wa kibiashara.
KUINUNUA Std Chtd Bank ingeitwa "take-over". Mtaji was Std Chtd ni Zaidi ya mara hamsini kimtaji cha Access.
 
Hamna mzunguko mkubwa wa ela kutokana na changamoto za madeni,siasa,no. Kwaoyo standard chartered Kama wakopeshaji wakubwa katika soko wanaona mtaji wait haukui ndo maana wanaachia nanga.
 
Back
Top Bottom