Recent content by Potelea Mbali

  1. P

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamuomba msamaha Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi kwa uzushi

    Naona kulikuwa na mgongano wa kimaslahi hapo
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Waislamu oyeee! Kwa ndalichako ndo mtakoma si hamtaki kusoma mnatia baragashia kichwani tu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo Maalim Seif kwa sasa?

    Kuna habari ipo mtandaoni sasa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Kwa kawaida rais anapaswa kuwa na magari yasiyozidi 4 na si chini ya matatu( mbele na nyuma ) lakini jk alikuwa na msafara wa magari kama 10 hivi plus polisi fagia road
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Acha siasa kwenye msiba
  6. P

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli akizungumza Kiingereza safi

    Kuongea Kiingeretha ni kutharau lugha yako. Thatha ni muda mthuri kwa Magufuli kukiinua Kiswahili. Unakumbuka jinsi JK alipohutubia kwa Kiswahili kwa mzee Madiba watu walishangilia thana thana. Kiingereza jifunze cha kusoma tu. Namshauri Magufuli asijaribu kutumia kiingereza hata thiku moja...
  7. P

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli akizungumza Kiingereza safi

    Ujinga na upumbavu wa wanaoshadidia kiingereza. Utawaabudu wathungu mpaka lini? Wanakudharau
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    NIPASHE wako biased kweli. Kwa sababu wale vijana 8 walishitakiwa kwa kosa la kujumlisha matokeo na kuyatoa bila idhini ya Tume lakini wao wamesema kwa kosa la kujumlisha matokeo. Nadhani kujumlisha matokeo siyo kosa kama Kova alivyodai shida ni kuyatoa bila kibali
  9. P

    JamiiForums Tanzania Membe: Tulikuwa tunagongana angani utadhani nyumbani kuna moto

    Anachofanya Magufuli ni kufanya yale wapinzani wake waliyasema na yale waliyokuwa wakiikosoa serikali ya Kikwwte
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete jiuzulu uenyekiti wa CCM

    Kumbuka pia hiyo ni mbinu ya KUMBANA JPM. Hivi unajua kuwa Akiondolewa uanachama siyo rais tena?????? Lazima afyate mkia hapo kwa vyovyote vile.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Unaweza kuta kesho anashitukiza kwenye mashamba ya kilimo cha pamba Shinyanga kujionea namna watu wanavyopanda mbegu kwa kutumia mbinu za kisasa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    Hahaaaaa. Du
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Makubwaaa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    Kuna watu wamejipanga kukosoa serikali mpya. Sasa soma taarifa hii mpaka mwisho uone inavyoshughulikia matatizo ya Wtanzania SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA Ndugu wanafunzi wa mwaka...
Back
Top Bottom