falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
- #21
Mhhh jana kazushiwa kitu....wall ya mbunge Allly Saleh iliandika kwa mafumbo
Heee kumbe
Mhhh jana kazushiwa kitu....wall ya mbunge Allly Saleh iliandika kwa mafumbo
Maalim atakuwa yupo viunga vya Pemba mkuu Falcon.
Unamtaka?Watanzania wanahaki ya kujua mahali wanapoishi viongozi waliowachagua, sasa swali la msingi ni wapi alipo aliekuwa makamu wa rais wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar mzee wetu maalim Seif Sharifu Hamad. Kwa wale magreat thinker tayari washang'amua kitu hapa
Watanzania wanahaki ya kujua mahali wanapoishi viongozi waliowachagua, sasa swali la msingi ni wapi alipo aliekuwa makamu wa rais wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar mzee wetu maalim Seif Sharifu Hamad. Kwa wale magreat thinker tayari washang'amua kitu hapa
Kashanyamazishwa huyo, njaaa tupu
Unasema walisemaje?Mbona kwenye whatsapp wanasema amekufa?