Kufilisika kwa serikali ni hatua ya kulipa mishahara, kutoa huduma kwa wananchi....ambapo kufilisika kwa serikali kuna athiri sekta binafsi....mfano ugiriki mwaka jana hata kuchukua pesa benk kulikuwa na masharti.....mishahara ilishushwa na pesheni.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.