Leo ndio mnamuona ana mazuri mlivyokuwa mnashindana kumtukana na kumkashifu mmesahau? Mungu anawaona lknKikwete lazima akumbukwe, ana mazuri mengi sana kafanya ktk utawala wake.
Kikwete akumbukwa. Ni kwa kuinua pato la Mtanzania kutoka 770,000/- hadi millioni 2/-. HT @ JAMBOLEO
Je, hii pia ilimgusa mwananchi wa hali ya chini?
Kama siyo huyu baba sijui leo ningekuwa wapi? nisingesoma kabisaa.Kikwete lazima akumbukwe, ana mazuri mengi sana kafanya ktk utawala wake.
Muafrika na unafiki ni kulwa na dotto.Leo ndio mnamuona ana mazuri mlivyokuwa mnashindana kumtukana na kumkashifu mmesahau? Mungu anawaona lkn
Sijawahi kuguswa na hilo pato kiuchumi.
Sijawahi kuhisi matunda ya uwepo wa twiga waliosafirishwa kwenye ile ndege kiuchumi.
Sijawahi kuhisi matunda ya uwepo wa faru john kiuchumi.
Nasubiri matunda ya ujenzi wa uwanja wa ndege Chato kiuchumi.
Nasubiri matunda ya ujenzi wa daraja la Selander kiuchumi.
Nasubiri matunda ya kubana matumizi.