Recent content by postgreSQL

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

    nashukuru mkuu, i will keep it up,
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

    mimi sio professional coz sijawai kusoma computer darasani ila ni mtaaani tu, na program in python and/ (django), postgresql, css(bootsrap) , html, na basic pen testing. eg of my work is UALIMU website for educational courses
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

    hapana sojawahi kufika,
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

    practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya kisheria ya haya maneno

    mnadhan kila kitu kipo google ?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya kisheria ya haya maneno

    naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utajiri mkubwa utakaoupata kama utaamua kufanya biashara hii

    BWANA akulipe katika hili, umeniamsha sana
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fursa kwa developers na hackers

    mkuu naoma dili na mimi, sina elimu ya dalasani ila naijua computer
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba unishauri chochote katika hili

    upo hivyo lengo langu ni kuanza na SOFTWARE ENGINEERING
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naomba unishauri chochote katika hili

    nimesoma masomo ya sanaa advance, chuo nikachukua ualimu wa masomo ya sanaa (Shahada). upande wa komputa sijawahi kusoma shule/ chuo chochote, niko dar es salaam
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naomba unishauri chochote katika hili

    mimi ni kijana (mid 20s). taaluma yangu ni mwalimu, nimeajiriwa (private). nilkua na ndoto za kuchukua fani za injinia tangu mdogo, ila mazingira ya o-level na uzembe binafsi ukaua ndoto hizo, nilipomaliza kidato cha nne kabla ya matokeo nilienda gereji za mtaani kujifunza umeme wa magari ,kwa...
Back
Top Bottom