Recent content by Possibles

  1. Possibles

    JamiiForums Tanzania Sababu za Jenerali Ulimwengu kuzinguana na Mkapa hadi kunyang'anywa uraia

    Makala nzuri sana. Hii nchi kuna watu wamepitia mengi. Aina ya watu kama hao wakiongea ama kuandika huwa natulia nijifunze kuchunguza hatua zangu vizuri.
  2. Possibles

    JamiiForums Tanzania Gharib Mzinga apunguze kutoa historia kwenye mechi, atangaze mechi bhana

    Duniani kote huo mdio utangazaji wa kisasa wa kwenye televisheni. Mpira pale wote tunau9na kwa macho hivyo hakuna haja yeye awe amatangaza kila move wakati tunaiona. Amachofanya ni kuyashabihisha matukio tunayoyaona mchezoni na taarifa mbali ili kunogesha experience ya watazamaji. Yuko vizuri...
  3. Possibles

    JamiiForums Tanzania Sala ya Bwana ni nini

    Ahsante sana kwa makala nzuri. Mwenyezi MUNGU akubariki.
  4. Possibles

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Wajumbe kazi kwenu. Msipotajirika mwaka huu basi tena
  5. Possibles

    JamiiForums Tanzania Kukataa ndoa kulivyonichelewesha kupata watoto, Leo nasomesha watoto wangu kwa pensheni

    Pensheni yako uliitafuna ujanani, kwahiyo ni sawa tu kutumia pesa uliyonayo kusomesha. Ishu si kipi kianze na kipi kifuate kwenye maisha, issue ni kwamba vyote lazima vikutokee kwenye maisha yako.
  6. Possibles

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

    Anayecheka mwisho ndiye...... Wananchi tulishasema 10 years bandika bandua mpaka akili ziwakae sawa
  7. Possibles

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Kesho Jumatatu mataji yote matano yatakuwepo kwenye parade la ushindi. Hatari sana
  8. Possibles

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Kwani hao wachina wa Kariakoo hawalipi hizo tozo ulizotaja wanapoleta mzigo Tz!?
  9. Possibles

    JamiiForums Tanzania Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

    Hiki ulichoandika hapa kamwe hakiwezi tokea. Punguza kuota ndugu
  10. Possibles

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Kama unatarajia kuwa mwanaume kwenye hiyo ndoa basi kuwa mwanaume mapema kabla ya hiyo ndoa. Wanaume huwa tunaamua.
  11. Possibles

    JamiiForums Tanzania Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Teh Teh Teh.......
  12. Possibles

    JamiiForums Tanzania Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

    Acheni MUNGU aitwe MUNGU. Huu uzi unaonyesha kabisa jinsi MUNGU alivyo Top Top scientist. Kila kiitu amekiumba kwa namna yake kwa jinsi yake.
  13. Possibles

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB mnakwama wapi?

    Hiyo no fursa sasa hapo unachopaswa ni kuichangamkia na kufungua huduma za uwakala upige pesa. Tena hapo unafungua uwakala wa CRDB, NMB na mitandao ya simu.
  14. Possibles

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuwa Commando wa Simba enzi za Hassan Dalali.ukomandoo una raha yake

    Komando kakimbia😄😄😄😄
  15. Possibles

    JamiiForums Tanzania Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

    Hili suala Hersi alishawahi kulizungumzia. Fatilia mahojiano aliyafanya na kipindi cha Wasafi Fm cha kina Edo Kumwembe na Oscar. Alisema kabisa kuna namna simba anapangwa kuwa bingwa ili kuleta utulivu kwa mashabiki wao.
Back
Top Bottom