Kwanza nikupongeze kwa utafiti mzuri na wenye tija kwanza fanya usajili ya ugunduzi wako kama ambavyo umeshauri ni muhimu sana lkn hakikisha unafanya utafiti zaidi ili product zako ziwe za kibiashara
Kwaiyo waliomuweka mahabusu siku 133 kwa makosa yanayodhaminika wewe ni sawa tu unapeleka lawama kwa wengine kwa hoja ya kipumbavu siasa ni mbaya sana kama hureason
Wewe ndio mwandishi wa habari dah Tanzania tuna kazi ya ziada ila ipo siku Mungu atatoa hukumu kubwa zaidi kama hujajifunza endelea kuziba ufahamu wako kwasababu ya maslahi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.