Recent content by porsche

  1. P

    Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Asante shonza kwa kuweka record straight
  2. P

    Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

    Inasikitisha msomi kama lwaitama anaweza kureason hv
  3. P

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Kwahiyo mbatia ndo anajibu hoja za sumaye? Mwenyewe yuko wapi? Kuna shida
  4. P

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Kuna mengi sana ukawa wanatakiwa kujibu kuliko kuhamishia mada mahali alipolala dokta
  5. P

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Tundu usituletee cheap politics watanzania tunahitaji kukua mengi kuliko alikolala dokta, jaribu kuongelea content ya alichokisema
  6. P

    Mh. Samia Apokea Malundo ya Kadi za Wana Chadema wa Mpwawa

    Kweli aisee dokta kapoza upepo wa ukawa kwa kiasi kikubwa
  7. P

    Mh. Samia Apokea Malundo ya Kadi za Wana Chadema wa Mpwawa

    Wingi unaanzia mbili yuko sahihi
  8. P

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Dk.slaa katusaidia Sana wananchi ambao bado tulikuwa hatujui ukweli na uongo. Kiukweli nimemuogopa Sana mamvi
  9. P

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Leo hii lema kahustle kuliko slaa? Kuwa mkweli
  10. P

    GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    Mkuu unaweza usiaminike sasa ila na mimi napata hisia kama zako. Tuombe tuu isiharibu amani yetu
  11. P

    Siku Dr. Slaa akiongea

    Dr. Slaa ana misimamo yako ambayo haiyumbishwi. Nakumbuka ule wimbo samaki ana mengi ya kuongea ila mdomo umejaa maji
Back
Top Bottom