Sasa unashauri nini hapo? tubadilishe sheria na tuondoe vibali vya kazi kwa kuwa wachina ni kidogo kuliko wahindi wasio na kibali? au tulifumbie macho japo lipo kinyume na kisheria?
Mi nadhani ni kweli tuna wimbi la wageni wasio na sifa za kufanya kazi na biashara hapa kwetu, labda hapo mwanzo...
Hivi unajua hata ukoloni ulivyokuja wazungu walikuja kama marafiki na zawadi tofauti tofauti kwa mababu zetu? ni kweli sio haki kama unauziwa shati la 5k kwa 20k, ila serikali hapo ndo inapopaswa kuingilia kati udhibiti wa bei kama kweli hali ipo hivo. Mbona kwenye kuagiza magari TRA wanakadiria...
Mwanamke anayemsubiri mumewe tu atakojozwa bila wasiwasi, tatizo wengi wenu saivi mmekubuhu! Mlishatembea na wengi, mlishafanya mengi kiasi kwamba mpaka uipate hiyo hamu ya kuingiliwa na mumeo ni mchakato mrefu sana.
Kimsingi mwanamke hu-enjoy mapenzi kwa mtu mwenye hisia naye, na wengi wenu...
Kwahiyo reference yako ni Google? ... hapa ndo tatizo linapoanzia. Mi nimetaka wewe ndo ulete reference ili tuangalie vitu viwili, 1) Authenticity ya reference 2) Content yake na maelezo yake yana-reconcile vp na porojo ulizoweka hapo. Ikiwa historia kila mtu ataielezea inavyompendeza yeye basi...
Hii inamtofautisha vp mlokole na Mroma wa kawaida ambae jana alienda kuungama dhambi zake na anamkriri Yesu kuwa ndo mwokozi wake?
Pia ili mtu aweze kuyafanya hayo maana yake ni kwamba awe amaefikia umri wa kuanza kutambua jema na baya, kutambua uwepo wa Mungu n.k mtoto chini ya miaka miwili...
Hayo yote yangekuwa yanafanywa kwa mafundisho sahihi ya Uislamu basi hii dini ingekuwa imeshapigwa marufuku kuwepo hapa duniani. Kuwa na open mind ndugu yangu.
Bila kujadiliana zaidi kuhusu hayo uliyoyataja hapo juu mi nitakubali kuwa Uislamu ni ugaidi ikiwa na wewe utakubali kuwa Ukristo ni...
Kushinda na kushindwa kwa hoja sijamaanisha mabishano bali majadiliano yenye tija, hoja yenye nguvu baada ya majadiliano ndo hapo panapopatikana maelewano.
Abadan siamini katika mabishano ya dini bila ya kuwa open kuukubali ukweli ikiwa mimi ndo nipo wrong katika ninachoamini
Taarifa ikiwapendeza wanasema ndo ukweli na ispowapendeza wanasema ni uongo! ... Sisi tunawaambia Yesu/Issa mumempa sifa za uongo na badala yake sifa zake ni kadhaa, lakini wao wanasema huyo tunaemuongelea ni mtu tofauti. Clearly if they were to debate on validty ya wanachokisema na...
Kifupi ni kwamba nusu uchi kwa mwanamke inachochea zaidi matamanio kuliko kuwa uchi kabisa. Hii ndo sababu wanawake wanakuwa na night dresses zenye design za kila aina, nyengine huwa ni see through, nyengine zina-expose baadhi ya maeneo ya mwili na kuziba sehemu ndogo nyengine n.k
Achilia mbali...
Ajabu sana kwamba mtu anashindwa kuona athari katika mapana yake. Ni kweli wachina wanauza vitu kwa bein nafuu, ni kweli wafanya biashara wanapata faida nzuri kununua kutoka china na kuuza hapa kwetu ila hayo yote sio conclusive.
Nakubaliana na wazo la kuruhusu wawekezaji wa nje kuja...
Wewe unashindana vipi na mtu aliyekuzidi technojia na mtaji!!!!
Angalau pia basi angekuwa analipa kodi kwa usahihi utasema itaenda kununulia vifaa vya hospitali ukiumwa utibiwe, lakini hata hilo pia hafanyi! Athari ya kuwakumbatia wachina ni kubwa sana sio pale tu unapomuona ameshika yeye bali...
Raia wa TZ tupo katika wakati mgumu sana kwa kweli, kwanza kabisa mchina huwa na bei ya chini kwa sababu zifuatzo: -
1) Ana-control the whole chain of supply (good for them lakini anavunja rizki za watu hapo katikati)
2) Halipi kodi ipasavyo
3) Anakandamiza wafanyakazi wazawa katika maslahi na...
Kwahiyo Mungu anampendelea Muisrael aliyepotea kuliko mataifa mengine yaliyoongoka? ... yani ni sawa na kusema Mungu ampendelee Shetani kuliko Yesu kwakuwa eti shetani alikuaga malaika mwanzoni!!! (kama mnavyodai)
Such a brainwashed mentality!!! hii ni mentality ya kitumwa ya kiwango cha juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.