Recent content by PopoMlalafi

  1. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi watengeza ugoro huwa wanachanganya nini mpaka unakuwa mkali sana?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi huyu mwamba Bad Bakule?

    Jamaa ni kweli alikuwa na ladha ya pekee kiuimbaji. Taarifa zilizopo ni kwamba Katika Moja ya safari zao nje na band kuna nchi Mwamba alibaki huko huko na kujichanganya Kitaa so hakurudi bongo[emoji2]. Naomba kuwasilisha wenye ya ziada wataongezea.
  3. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Askofu Gwajima sina Shida na REDE CUP yako ila Waambie wahusika wakiwa Wanacheza na kutuona Wanaume wasiwe wanajibinua na kuyatikisa

    Ninecheka kuhusu biological weapon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Shukrani
  5. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Kama 400k hivi
  6. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    I have a Bajaji naweza eka bond pia
  7. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    [emoji2]mkuu nafuatilia najitahidi tu kufungia jukwaa nione mambo yanavyoenda. Kwenye nchi kama zetu ukipata dharula kama yangu lazima ujue pa kuanzia.
  8. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Nina mkopo CRDB already ambao nakatwa direct. Hii imekaaje? Je Nina sifa za kukopa Bado? Though sihitaji kutop-up
  9. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Asante mkuu. Bado nakaribisha options
  10. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mkopo. Msaada wa njia rahisi

    Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi. Nipo serious wakuu
  11. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Sitasahau nilivyoanza kukopa hela kwenye applications za mikopo nilizokuwa nazidharau nikiona matangazo yangu Facebook. Sasa picha linaanza kuna siku nataka kukopa TENI kwenye Moja ya application za MIKOPO wakaomba picha yangu ya kuscan nilikuwa bar then nakimbia toilet kupiga picha kwa Siri...
  12. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania 20 Kali za Judith Mbibo Lameck Wambura

    Unaandika sana mkuu. Media hous zinakuhitaji. Ikikupendeza nitaomba uni Pm
  13. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

    Maradufu. Na ni muajili pia kwa sasa.
  14. PopoMlalafi

    JamiiForums Tanzania Kinachozeesha mwili ni akili

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom