Pia na chuo cha ualimu Butimba wameambiwa kufikia jumamosi wasionekane chuoni kwani chakula hakuna watajulishwa kama ni wiki mbili au kuja kufanya mtihani
Hapo bora kususia kwa sababu ukipiga kura ya hapana inamaana unataka katiba iliyopo iendelee. Kwa hiyo bora kuacha ili zoezi litafutiwe mda mwingine wa kuliweka sawa
Waache wagome chuo hakihusiki na fedha za bodi hao wanataka kufukuzwa chuo wakatoliki huwa hawatakiwi kugoma ukigoma kama ni mtoto wa mkulima jiandae kwenda kulima
ukiambiwa ukweli unasema unakatishwa tamaa. subir utaona mwenyewe unatakiwa ku clear kwanza hayo masomo. Mtihan wa supp utafanya na wale wanaomaliza mwaka huu
'
Hapo kwanza kama hedhi yako ni ya damu nyeusi halaf ina mabongebonge hapo mimba imetoka pia kama unasikia maumivu makali chini ya kitovu, maeneo ya upande wa mbavu kushoto, pamoja na mgongoni wakati wa siku za hatari na siku za hedhi utakuwa na mchango. kama hizo dalili hazipo litakuwa...
Ni kweli kabisa mleta maada ameandika tar si sahihi sijui alikuwa na haraka au wameingizwa mkenge kuwa na makubaliano yasiyo ya kweli maana hizo tar zimepita au hii habar ni ya mwaka jana c ya leo hebu urudi utupe taarifa kamili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.