Mukuu bona nauliza swala ambalo jibu unayo?
Wewe nafikiri chango ya kuanzisha hiyo vyuo natoka wapi?
Na umeshawahi uliza kwa nini walijinyima na wako changa fedha ili anzisha vyuo huyo?
Bana sikiliza.
Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila!
Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii?
Ze Ponjoro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.