Recent content by pond ps

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

    Unatia mumo kwa mumo..
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum:Kwa wanawake ambao tumewahi kuharibiwa future zetu na wanaume tukutane hapa tufarijiane

    Hiv kumbe kuna mwanaume mbaya? Subili malaika waje, hata nao wapo walioasi kwa muumba wao.
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

    Kuondokana na changamoto za ndoa kama sio kuzipunguza, no wanandoa wenyewe kuamua jinsi ya kuishi. Na tendo la ndoa litolewe kikamilifu bila kupunjana. Mpe mwenzio kama vile hutampa tena na yeye mkeo hvyohvyo hizo changamoto zingine zitakua minor.
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni halali mwanaume kuomba mwanamke achangie nauli pindi anapokuja kukutembelea

    Gonga tano mkuu. Wanawake wengi wapo kama watoto, hawajui baba kapata au kakosa. Kazi wanaume tunayo, tujipange haswa.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni halali mwanaume kuomba mwanamke achangie nauli pindi anapokuja kukutembelea

    Kama ndio mimi siji tena, bora nikakae msituni nitulize akili huenda kuna mapya nitapata.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu mzazi analeta wanaume nyumbani

    Huyo mama naye anahisia kama binadama wengine. Sasa nyie mlitaka afanye nini? Mume kama alishakufa hpo hakuna kosa, na nyie mnavyomsema kila siku atakua na hofu ya kuolewa. Na hilo hamuwezi kulizuia na ndio kiapo cha ndoa kinavyosema, had kifo kitenganishe!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani.

    Had western wanamgwaya. Then watz walioshiba sembe wanapiga kelele tu. Hahaha Putin sio MTU wa sport sport. Western wenyewe wanakwambia Putin is more dangerous than Stalin or Klushchev. Hahahahaha mziki mnene..
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nadra sana kupata msichana mzuri halafu ana akili. Bro nisamehe nilikukosea sana

    Wenye chura ndio vimeo kuliko. Hapa JF watajimimina kujimwagia sifa, utasema hawa ndio material wenyewe. Weka ndani uone chamoto chake. Na ukimkuta mwanamke yupo ndani vzr , anapika vzr na shughuri zingine za home ujue sio mwaminifu kwa ndoa yake (huu mtazamo wangu Mimi, nao sio wote but wengi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Marekani ikitengeneza makombora sisi pia tutatengeneza' aonya rais Putin

    Kama ni propaganda waambie US walianzishe, tuone mkweli nani.
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali; Nimewakuta house girl na house boy wananjunjana sitting room

    USHAURI WA NIN? AS KWAMBA NAWEWE ULIKUA UNATAKA KUBANGUA AU KUBANGULIWA KOROSHI?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Putin ataweza kuibadilisha mawazo Uturuki na kuiondoa ndani ya NATO?

    WAMAREKANI WAMEICHAPA URUSI KWENYE GAZETI FRONT PAGE
  12. P

    JamiiForums Tanzania Urusi kujenga mji mwezini ifikapo 2040

    How come wao wawasemee warusi? Ndio kusema warus hawana wasemaji?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Netanyahu akabiliwa na tuhuma za ufisadi

    ALIVYOINGIA KWA GIA KUBWA MIM NIKADHANI ATAMALIZIA TANZANIA, YEYE ANAMALIZIA HUKO AS IF ALIWAHI KUISHI HUKO WAKATI HAPA WATU WANALALA NJAA NA VIONGOZI WAPO KAZI KUTETEA PUMBA KILA SIKU KULINDA VITAMBI VYAO.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Urusi kujenga mji mwezini ifikapo 2040

    Niambie nchi iliyoendelea bila kupitia misingi ya kijamaa? Unataka kusema u NATO sio ujamaa? EU sio ujamaa? OPEC sio ujamaa? Au mimi ndio sielewi?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Petro Poroshenko, Rais wa Ukraine aanza kutetemeka

    Kwanini Russia akipigana Vita akishinda anatabia ya kuchukua Ardhi za mataifa mengine? Mfano visiwa vya Kuril vilivyokua chini ya taifa la Japan. Tuseme kuwa ni taratibu za vita? Kama ni taratibu, kwanin sisi hatukuichukua Uganda?
Back
Top Bottom