Petro Poroshenko, Rais wa Ukraine aanza kutetemeka

Yaani NATO aende mpakani mwa Ukraine kumzuia Urusi asilinde Uhuru na usalama wake, hawajitakiamini nakwambia hakuna nchi yoyote anayoweza kuivamia Urusi ulaya mashariki anapoona Kuna kitisho kwa usalama wake Marekani au NATO watajaribu kuingiza jeshi, never na wakiingiza ndo mwisho wa dunia umefika....
Mungu aepushie mbali tuendelee kunywakunywa visafari na vibalimi
 
Yaani NATO aende mpakani mwa Ukraine kumzuia Urusi asilinde Uhuru na usalama wake, hawajitakiamini nakwambia hakuna nchi yoyote anayoweza kuivamia Urusi ulaya mashariki anapoona Kuna kitisho kwa usalama wake Marekani au NATO watajaribu kuingiza jeshi, never na wakiingiza ndo mwisho wa dunia umefika....
Kumiliki nuclear ni kuheshimiana sana,urusi isingekua na nuclear nafikiri ingesumbuliwa sana na mataifa ya NATO
 
Eehhh! Kwani waliyosema don't poke the bear walikuwa wajinga eeeh! Amepanda upepo anafikiri atakachovuna ni nini? Atavuna kimbunga tu.

Isitoshe hizo data alizotoa inawezekana ni kutafuta huruma ya kimataifa. Kwa sababu data kamili wanayo wenyewe Warusi. Ila jeshi na zana vita zinazomsubiri Ukraine si za kitoto(kwa baadhi ya zile zilizooneshwa kwenye vyombo vya habari).

Sasa Ukraine kazi ni kwao kujaribu ni bure. Yaani vita kama ikianza leo, Jumanne Spetnaz wameshamaliza kazi. Vodka wanainywea Kiev.
spetsnaz
 
Rais pekee duniani ambae hulia na kutoa machozi pindi wimbo wa taifa lake ukiimbwa
BeautyPlus_20181202200813343_save.jpeg


"Stay away from this man"
 
Mkuu hapo namaanisha hao mateka Wa kijeshi Ukraine wakielewana na Russia si itabidi warudishwe kwao! Na warudishwapo kwao,ukraine atapata tabu kumtambua yupi ni yupi si ataamua awaue wote? Au ndio wataona tabu kuwaua kaka zao? Kkkkkkkk
Nalog off
Poroshenko akiamua kutafuta mamluki wa kirusi ndani ya Ukraine hakuna atakayebaki, kiasili wa Ukraine wote Ni warusi na wanaipenda Asili yao....ujamaa umetamaki ndani ya Usoviet zaidi ya miaka 200 na wajamaa Wana kitu uzalendo Ni ngumu Ukraine Asili kuisaliti Urusi, wako Kama wayahudi....
 
Kwanini Russia akipigana Vita akishinda anatabia ya kuchukua Ardhi za mataifa mengine? Mfano visiwa vya Kuril vilivyokua chini ya taifa la Japan.
Tuseme kuwa ni taratibu za vita? Kama ni taratibu, kwanin sisi hatukuichukua Uganda?
Russia pia aliichukua Georgia maeneo ya south Osetia baada ya vita vya 1998, pia ameichukua eastern Ukraine maeneo ya Donbas huko Donetski na Luhanski ambapo amewaweka waasi wa kirusi wakiunda serikali yao inayotambuliwa na Russia tu duniani. Pia ameichukua Transnideia huko Moldova ambapo pia ameweka majeshi yake huko. Issue kubwa ni uchumi. Russia is more powerful kiuchumi ikiwa ni 9th great economy in the world so kuvamia nchi na kukalia sehemu yake na baadae kuifanya kuwa ardhi yake si jambo gumu sana. Pia uwezo wa kulinda military gains kupitia military technology wanao mkubwa sana na nchi za West wanalifahamu hilo. Jiulize tu jambo moja pamoja na Japan kuwa nchi tajiri sana na ilivyo hv sasa kuwa aligned na USA mbona wameshindwa kuvirudisha visiwa vya KURIL islands ambavyo Russia aliviteka from Japan during the end days of the 2 Word War?.Kutokana na hilo mpk leo Japan hajasign peace agreement with Russia na Russia hajali sana sana amezidi kuvimilitarize visiwa hivyo to the maximum.
 
Kwanini Russia akipigana Vita akishinda anatabia ya kuchukua Ardhi za mataifa mengine? Mfano visiwa vya Kuril vilivyokua chini ya taifa la Japan.
Tuseme kuwa ni taratibu za vita? Kama ni taratibu, kwanin sisi hatukuichukua Uganda?
tz hawakuchukua aridhi ya uganda coz wanaaridhi kubwa pia lengo lilikuwa ni kumuweka kibaraka wao mr obote lkn tz waliiba saaana mali za waganda alafu urusi anachukua maeneo ambayo yalikuwa yake zamani na maeneo ya kimbinu
 
Back
Top Bottom