SHADI JUMA,
Mkuu hoja yako nyepesi sana. Hapo si mfuasi wa Tulia, sioni chochote cha maana ulichoandika. Kwamba wachaga wasimchague mchaga mwenzao kwa kuwa tu itaonekana ni ukabila hata kama anaonekana anafaa. Hivi kuna yeyote aliekatazwa kufanya kama Tulia na kwa taarifa yako wananchi wa...
Ni ukweli mchungu mkuu, ingawa watu wa Mbeya hupenda kujiamulia mambo yao wenyewe na huwa na misimamo mikali, tabia hii imechangia kuachwa pakubwa kimaendeleo ikilinganishwa na majiji mengine kwa sasa.
Kwa sasa Mbeya hakuna mradi hata mmoja wenye tija unaotekelezwa licha ya kuwa ni kitovu cha...
Jambo moja zuri (positive), jamaa akijitoa anaacha mambo yake yote na ratiba zake....anajitoa kwelikweli....si kweli kwamba ni mnafiki tu....pia ana utu ndani yake....ambalo ndio muhimu kwa binadamu yoyote kuliko mambo mengine..hayo mengine ya siasa ni ya kupita tu......
Ni kweli, jiulize tu swali kidogo kwa upande was ajira. Angalia wa Zanzibar walioajiriwa Tanzania bara na Wazanzibari wanaojishughulisha na shghuli za kiuchumi Tanzania bara, waliopo mpaka Katavi, mpakani mwa TZ na Malawi, Kigoma, Mwanza etc. Halafu ulizia Watanzania bara wanaofanya kazi...
Hawa wabunge nao ni shida, hivi msigwa kweli amekosa mambo ya msingi zaidi ya kuzungumza kipindi hiki zaidi ya kura za urais ambazo hajawahi kuzizungumzia miaka minne yote.
Kama sio kuomba kufungiwa kuhudhuria vikao vya bunge ni nini?. Baadaye atafute public sympathy.
Kuna mambo mengi...
Amevaa mara ngapi mkuu mpaka kufikia hilo hitimisho kwamba anapenda sana. Kwa maoni yangu huu ni upotoshaji, hii itakuwa mara ya pili kuvaa sasa katika kipindi cha miaka minne kuvaa mara 2 huwezi kusema anapenda sana wakati Rais Kenyatta katika kipindi cha miaka 2 tu amevaa zaidi ya mara 5 na...
Looh kwa hiyo unaamini miradi hiyo haina tija kwa taifa. Ndio shida ya kushikiwa akili we mwenyewe huwezi kutafakari mpaka mtu mwingine aseme. Huu ujinga sijui utaisha lini.
Upuuzi mtupu na ujinga kutoa maoni kama hayo, unamuondoaje mkuu wa nchi wakati maamuzi na maelekezo kama haya yanafanyika kwenye baraza la mawaziri, nakuhakikishia hili suala lisingefanikiwa bila maelekezo ya mkuu wa nchi. Hili suala si la leo sheria ya katazo ilipita bungeni siku nyingi...
Mkuu ili la mifuko kwani lilikuwa na ugumu gani kulitekeleza?. Ni utashi tu wa viongozi mbona sheria ya kuizuia ipo muda mrefu, utekelezaji ulikuwa unasusua kwa sababu ambazo viongozi wenyewe wanazijua. Nchi ndogo kama Rwanda walizuia mifuko hiyo siku nyingi. Si kweli kwamba hili suala lilikuwa...
M
Mkuu umesahau mikataba mibovu ya akina IPTL, capacity charge tu walikuwa wanalipa mamilioni kwa siku... katika hali kama hiyo wangepataje faida?...Tunambiwa sasa serikali imesitisha matumizi ya umeme wa mafuta mazito...pengine ndio wameweza kupata faida.... Ila jambo la kujiuliza imewezekana...
Kimsingi aliyeyazungumza haya anamlenga Rais aliyepita bila kujijua, maana utamzungumziaje Waziri afanye hayo kama ni kweli bila mkuu wa nchi kutoa kibali... Kimsingi mambo yenyewe hayana ukweli wowote yamejaa majungu, fitina na hayana msaada wowote kwa sasa....
Mkuu shilingi ingekuwa inaimarika kwa maneno...bilashaka kuna viongozi wangekuwa tayari kutamka ili shilingi iimarike..lakini sivyo...kimsingi kuyumba kwa shilingi dhidi ya dola, miaka yote pamoja na mambo mengine kumekuwa kunachangiwa na uagizaji wa bidhaa nyingi kutoka nje kuliko tunavyouza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.