Recent content by Pompey

  1. Pompey

    Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

    Kwanini wanajilazimisha kuongea kingereza?, ulishamuona messi na uzungu wake anajilazimisha kuongea kingereza??, akubaliane na khali azungumze kiswahili wamtafsirie basi!, kwanza inaleta uzalendo, muafrika tumia lugha yako
  2. Pompey

    Kwa sisi tunaoamini unabii tunajua kabisa Russia anashindwa vita hivi

    Hivi China ambayo imekuja juu na inaendelea kuwa juu siku hadi siku, kiuchumi na kijeshi huwa iko wapi ndani ya unabii??
  3. Pompey

    Iran yaionya Israel baada ya kuwaua maafisa 3 wa Mossad

    Kimtu chenyewe kinachosema kieleweke hakina mbele wala nyuma, kaa kwa kutulia dogo, kwanza wewe sio sehemu ya dunia., matatizo yetu ni njaa na magonjwa, na yalishatushinda muda mrefu uliopita., hayo mavita ya wazungu achana nayo hayakusaidii chochote,. Ni vita tu za makabila, ambazo wanatumia...
  4. Pompey

    Putin: Vikwazo tulivyowekewa vinatuumiza sana lakini vinatujenga sana kwa siku za usoni kuwa na Urusi mpya!

    Tatizo la waafrica ni kukosa vyanzo halisi vya habari, yani hapo umekaa umefuatilia sijui ma bbc, cnn, al jazeera, sky news, reuters, fox news, e.t.c af ukaja kushusha uzi huku., bila kujua hao wote wako chini ya uangalizi mmoja na lengo lao ni mass control, utaona wanachotaka uone, na utasikia...
  5. Pompey

    Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Oya, Putin mwanzo alisema hana mpango wa kushambulia na akashambulia, huku akijua ndiyo plan zake, zote hizo ni plans, alijua vita ni ingechukua muda mrefu, ila si rahisi kusema tunakuja kwa vita ya muda mrefu, ni rahisi kusema tuna operation ndogo ya masaa 24, ili aingie.., ili vita ikiwa ndefu...
  6. Pompey

    Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

    Lazima utakuwa muislamu wewe, huwa mnafundishwa kuichukia marekani na europe na kuishabikia china..,
  7. Pompey

    Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

    Ila washkaji huwa ni wanawake waliokuwa na viungo vya kiume
  8. Pompey

    Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

    Na mimi ni mmojawapo
  9. Pompey

    Ethiopia: Waziri Mkuu awafuta kazi maafisa wa juu akiwemo Mkuu wa Jeshi

    Wanajielewa, sio kama nyie mkiona tu vipolisi mnajifungia ndani
  10. Pompey

    Tanzania ni nchi masikini sana

    Tunashukuru kwa elimu uliyotupatia, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  11. Pompey

    Nini yatakuwa madhara ya kuruhusu Ethiopia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)?

    Hawali technology ila inarahisisha ulaji wao, ndiyo maana sisi na ardhi zetu kubwa mvua isiponyesha mwaka tu tunaanza kulia njaa na kuwaomba misaada, wakati wewe unatumia jembe la mkono na kutegemea mvua.., mwanzako anatumia mashine kuandaa shamba, kupanda, kupalia, kumwagilia na kuvuna, na...
  12. Pompey

    Songwe: Ahukumiwa jela miaka mitatu kwa kumtukana Rais Magufuli

    Kwa hali hii itachukua muda sana kuondoa umasikini nchini.
  13. Pompey

    Truth exposed

    Bahati nzuri siku hizi kila kitu kikitokea, kuna wasiojulikana huwa wanabebeshwa mizigo
  14. Pompey

    Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

    Una akili ndogo sana,,
Back
Top Bottom