MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,650
- 48,415
Hiyo ni fikra ya mtu binafsi jinsi anavyoona jambo hilo nami siwezi kumlazimisha mtu aone suala hilo katika mtazamo wangu wa kisiasa.
Kuna dini hufanya watu wawe kama mbuzi, hawatumii akili zao binafsi.