Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,208
- 4,724
Kuna mikoa miwili hapo ina DNA xa ETHIOPIA kama siijakosea....Kiruuuuu! We utakuwa umezaliwa na unaishi sehemu zenye wanawake wabaya kwa kuzaliwa!
Yani wanarithi ubaya from their mom ahahaha!
Ungekuwa umezaliwa Singida, Manyara, Lindi, au Kondoa au pengine kuwa na vinasaba na hayo maeneo wala usingezungumzia habari ya madem wakali cause wewe tu in nature utakuwa kama wao hata kwa mbaaali.
Manyara na Singida