Recent content by Pomole

  1. P

    JamiiForums Tanzania Bodyguard wa Freeman Mbowe

    Bado tu una mawazo mgando,anayetetea ukabila nani,wewe ndio unawaza ukabila ukaianzisha hoja na haikusaidii kwa lolote!!!mambo mengine ni asili huwezi kupinga,jiangalie kwanza wanaokuzunguka wewe sio kumuangalia mbowe!!!usitake ku pritendi hap jf!!!nadhani hata hao unaowasemea huwajui vema na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Bodyguard wa Freeman Mbowe

    Acha mawazo mgando!!!!mara nyingi kwetu huku bodyguard (wa karibu) anatakiwa awe mtu unayemuamini na kuamini huko kutaanzia na mtu unayemfahamu hasa ndugu au wa nyumbani kwako ili akulinde kwa uzalendo!!!huhitaji elimu kubwa ya darasa la pili kujua hilo!!!wewe ulitaka alindwe na nani?ili uridhike
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mama yetu adhalilishwa

    Wengine msilete post za ajabu,huyo mama kadhalilishwa na nani??msitake kuleta ligi zisizo na msingi haihitaji hata kufika darasa la nne kujua kuwa yeye kaamua kufanya hivyo kwa akili zake timamu!!!unamsemea kama nani??anatambua kuna magazeti ya udaku,mitandao nk hivyo kama unataka kulitumia neno...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Two Kenyan men wed in London

    Harusi hii ilifana sana huko majuu!!!!mijitu hii sijui ikoje bana!!ina maana mfupi ndo anti asu au yupi jama
  5. P

    JamiiForums Tanzania Seriously: Natafuta mwenza!!!

    Hili suala sio la kucheka,binadamu tuko tofauti sana!!!Kuna wengine wanapenda na wanalilia hata zaidi ya hiyo!!kwani wanawake huwa wanajua saizi ya mtu anapotoka na njemba kwa mara ya kwanza???ukikutana nayo chumbani huna namna ni kuridhia tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Huo msimamo unaouona ni wa kutunga na kujitetea ili watu wamuone ana msimamo ila ukweli hata wewe waujua kuwa.Tumeumbwa yale mambo yafanyike sirini.Wote wanafanya ila sio peupe.kama haogopi shuka lilikuwa la nini kujigubika
  7. P

    JamiiForums Tanzania mdogo wangu yupo masomoni

    Hebu toa taarifa elekezi;mdogo wako(kama kweli) anasoma wapi,anasomea nini,ameolewa au bado,namba ya simu,ana umri gani hizo ni taarifa muhimu kuliko picha.Anywayanaonekana mtulivu na amepoa kwa nje!!!mna uhakika wa kupata ng'ombe kadhaa hapo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndani ya Kina dada bhana...

    hii skin tight nzuri SANA na pia dada mwenyewe anaonekena ana element za usafi,maana kavaa kitu cheupe!!!wengine hawathubutu kuvaa vitu vyeupe.Hongera dada kwa kujistiri vema.mtuma post cjui alitaka amaanishe nini???Re-phrase your post
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Anajuta sana kimoyomoyo ila hataki watu wajue udhaifu wake!!Ukimuangalia sana tabia yake ya ubishi,sura ilivyokaa na macho yalivyo utagundua kuwa huyu binti ni SOCIO-PATH ingawa yeye hajijui na hatajijua kamwe!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Ninakana na nitaendelea kukana kuwa eti hajutii kuliwa uroda na enerst,mtu yeyote duniani hawezi kufanya mapenzi ktk kamera au hadhara halafu asijutie labda kama ana matatizo ya kiakili au kisaikolojia.Kama aliona sawa kwa nini walijifunika lishuka gubigubi kama haogopi kitu.Hapo anaongea kwa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu jijini Dar, Anti Asu

    Ukimuona akitembea anavyonengua utasema mwanamke hasa,bahati nzuri mola alimnyima wowowo!!!angewamaliza wakware....aliolewa huyu sijui kaachika lini.mola atunusuru na hili janga
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mambo ya MDUARA lahaaa sana

    Hapo ni kuchobea kwa kwenda mbele
  13. P

    JamiiForums Tanzania Amenichosha: Nisaidieni software za kuhackle simu yake

    Hiyo yote ni kutafuta sababu ya kuachana na huyo jamaa yako!!!Jiulize haya:- 1.Wakati mnaanza mahusiano mlikubaliana kuangaliana simu zenu au hilo umelitunga wewe???? 2.Kama yeye haangalii simu yako wewe kinachokuwasha ni nini,unadhani wewe ndio unampenda sana kuliko wewe.Kama hakupendi c...
  14. P

    JamiiForums Tanzania mimi wazungu nashindwa kuwaelewa akili zao

    Sio kama mshipa wa aibu umekatika ila wanapenda sana kurahisisha mambo na pia kujaribu kila kitu.Huwa hawajali kama wanyama vile.usiwafatilie utakuwa mwehu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hii suti ina nini?

    Inaonekana ni mwanga umeakisika kutoka mahali kama si kamera basi kuna mahali umetokea.Sio doa kwa kuwa linaonekana linahama toka sehemu moja hadi nyingine
Back
Top Bottom