Bodyguard wa Freeman Mbowe

Bodigadi wa MBOWE ni SWAI! ....ukabila uliokithiri.

Akiingia Magogoni kichagga kitakuwa ndo lugha ya kwenye makorido ya Ikulu.
 
Mh, hapana, hiki si kitambi cha uteketeke, kimekomaa kwa mazoezi, ndio body yake hiyo, anaonekana ni noma, Mi naogopa, kuna mtu ana kijitambi cha aina hiyo mitaa ya home, kiboko
sasa kwa kitambi hichi alichonacho huyu bodyguard Freeman atasalimika kweli?

Nyimbo+za+kumpongeza.jpg
 
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.

Kumbe wote wa nyumbani! sio mbaya ndio kupeana ajira.
 
Huyu ni Bodigadi Tesha tu Piga ua akimaliza hapo Safari 5 na mguu mzima wa. Mbuzi

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
 
Bodigadi wa MBOWE ni SWAI! ....ukabila uliokithiri.

Akiingia Magogoni kichagga kitakuwa ndo lugha ya kwenye makorido ya Ikulu.

Acha mawazo mgando!!!!mara nyingi kwetu huku bodyguard (wa karibu) anatakiwa awe mtu unayemuamini na kuamini huko kutaanzia na mtu unayemfahamu hasa ndugu au wa nyumbani kwako ili akulinde kwa uzalendo!!!huhitaji elimu kubwa ya darasa la pili kujua hilo!!!wewe ulitaka alindwe na nani?ili uridhike
 
.... kumbe mtu akipiga Chuma na kuwa BAUNSA anaweza kuwa BODYGUARD!!!!
 
Acha mawazo mgando!!!!mara nyingi kwetu huku bodyguard (wa karibu) anatakiwa awe mtu unayemuamini na kuamini huko kutaanzia na mtu unayemfahamu hasa ndugu au wa nyumbani kwako ili akulinde kwa uzalendo!!!huhitaji elimu kubwa ya darasa la pili kujua hilo!!!wewe ulitaka alindwe na nani?ili uridhike

Unatetea ukabila tu hapa. Mbona Nyerere hakuwa na bodyguard Mzanaki? Unafiriki bodyguard wa Kikwete ni Wakwere? ...Kwa faida yako na wengine wanaofanana nawe, yule ADC wake hatoki Bagamoyo wala mikoa ya Pwani.

Ukabila utawatafuna.
 
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.

Umefulia mkuu acha uzushi " ni family friends tena mjomba wake na Mbowe na mjomba wake jamaa ni marafiki????@##@.Umevurugwa ritz!!!!!!!! acha utunzi wa uongo. Kama una uhakika nitajie jina la mwanzo la huyo Swai na uniambiye mama yake Mbowe ametokea Wilaya gani? na kama ni Machame ni kata gani.
 
hapo utamkamataje huyo pimbi? Atoe majibu thatha!
 
Umefulia mkuu acha uzushi " ni family friends tena mjomba wake na Mbowe na mjomba wake jamaa ni marafiki????@##@.Umevurugwa ritz!!!!!!!! acha utunzi wa uongo. Kama una uhakika nitajie jina la mwanzo la huyo Swai na uniambiye mama yake Mbowe ametokea Wilaya gani? na kama ni Machame ni kata gani.

Sio vizuri kumuongelea mama yake Mbowe, tumuongelee Mbowe mwenyewe..Mbowe kazaliwa kijiji cha Nshara Machame.
 
Unatetea ukabila tu hapa. Mbona Nyerere hakuwa na bodyguard Mzanaki? Unafiriki bodyguard wa Kikwete ni Wakwere? ...Kwa faida yako na wengine wanaofanana nawe, yule ADC wake hatoki Bagamoyo wala mikoa ya Pwani.

Ukabila utawatafuna.
Bado tu una mawazo mgando,anayetetea ukabila nani,wewe ndio unawaza ukabila ukaianzisha hoja na haikusaidii kwa lolote!!!mambo mengine ni asili huwezi kupinga,jiangalie kwanza wanaokuzunguka wewe sio kumuangalia mbowe!!!usitake ku pritendi hap jf!!!nadhani hata hao unaowasemea huwajui vema na huenda hawana mtu wao mwenye vigezo au protocol inawabana maeneo fulani!!!kama huutaki ukweli unaruhusiwa kuandamana kuupinga,nami nitapokea maandamano yako.Itawale fikra na mtazamo wako wa kikabila kwa manufaa yako na vizazi
 
Wewe ni mbishi na mgumu kuelimishwa. Mtu anayejifanya anajua wakati hajui ni hatari sana.
Let's agree to disagree.
 
Sioni tatizo maadam mwenye kulindwa karidhia kuwa na huyu mkubwa hamna shida. HATA ANGEKUWA MLEMAVU WA VIUNGO POA TU
 
Ndio wana ujamaa huyo Bodygurad anaitwa Swai ni kijana wa Machame ni Family Freinds na Mbowe, mjomba wake na Mbowe na mjomba wake Swai ni marafiki wakubwa.

Ningeshangaaa! ritz bana,kazi unayo, hivi umeshawahi kufanya tathmini ya kazi unayofanya? na matokeo yake je? are happy with it? au ndo tumbo utake ustake lazma...
 
huyu kijana wetu ndo uwezo wake wa kufikir umeishia hapo.ungekuwa mzalendo wa mchi hi hayo maneno yangeishia moyoni mwako.
 
Usione ukazani,fitina titi la paka halifai kwa mtindi,fitina ngozi ya tembo haifai kwa kuwamba!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom