Nimeishi na mademu wa elimu zote, la saba, four, six, diploma, digrii, master except PhD. But la saba ni best, muelewa, haoti mapembe, full amani, nikiondoka anabaki na watoto, nikirudi namkuta. Hiyo ndo ndoa. Wakati Adam anafukuzwa eden aliambiwa kazi yake ni kutafuta kwa jasho na mke ni kuzaa...