Ni nani ashtakiwe the Hague?

Pombe haramu

Senior Member
Dec 19, 2017
151
238
Ni suala linalosikitisha sana katika serikali ya awamu ya tano kumekuwa na matukio ya kutisha na unyanyasaji dhidi ya haki za raia. Nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu uhuru inashuhudia mapito na majaribu mabaya ya raia kutekwa na kuteswa pamoja na kuuwawa na watu wasiojulikana, raia kukutwa wakielea katika fukwe za bahari, viongozi wa kisiasa kushambuliwa kwa risasi. Kwa uasi huu dhidi ya raia, ni nani ashtakiwe the Hague!!
 
Hiyo the Hague naisikiaga tu hata siielewielewi. Je, yanayotokea hapa nchini yanashtakika the Hague?
 
Umezaliwa Mwaka Gani Wewe Yanayotokea Haya Si Muendelezo Ule Ule Wa Kina Mkapa Jk Mpaka Sasa Au Kwa Kuwa Enzi Hizo Mitandao Ya Kijamii Haikuwa Imetapakaa Sana Hakuna Cha The Hague Wala Nini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom