kuzichapa haina maana tu ya kupigana ngumi.kuna namna nyingi za kuzichapa.kwa kauli yako unataka kusema cdm na ukawa wakushinda watavuruga vp amani mi nnadhani ccm wakishindwa ndo watavuruga amani?.huwezi kuilinda qmani huku watu wakiwa na manung'uniko ya wizi wa kila siku wa rasilimali zao,ipo...
hebu wadau turudi nyuma tuache kuingea kwa ushabiki,mazoea ,kejeli na jazba
tujiulize hivi chadema au chama chochote tofauti na ccm hakina uwezo wa kuongoza nchi tena kwa ufanisi?
si kwamba wavulana wavaa mioegezo wanatangaza biashara furani ama ni wavuta bangi
wengi ni waathirika wa mkumbo wa kufuata upepo na utunwa wa mitindo toka nje.kwa kifupi ni mateja wa fashion
kuua yyte wakati wa fumanizi ni kusema kuwa akili yako na maisha yako ni madogo na hayana thamani zaidi ya k.ya mkeo.
ni ujinga k haipaswi kuwa kubwa zaidi ya thamani ya maisha yako.ni ujinga ni utoto ni unyama ni udhaifu wa mwisho kabisa duniani.
Yeye angekuwa anajikita kukielezea chama cha mfukoni kwake kulikobkutafuta kiki kwa kuiponda cdm hapo ndo watu wanaamini kuwa jamaa lengo lake ni kuiua CHADEMA na si kujenga demokrasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.