Recent content by Polonium210

  1. Polonium210

    Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Watamkamata tena kwa kuchochea Uzomeaji. Dah ila hii kali yaani sipati Picha pale Mecky Sadiq atakapoamuru UDSM Ifungwe kisa ameenda Nkurumah halafu watu wakamzomea
  2. Polonium210

    Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mkjini Mh. Gobbless Lema "Kwa Amri ya Mkuu wa Mkoa" kumesababishwa na sababu kuu mbili 1. Makundi ndani ya CCM 2. Kukataa kwa Lema kuwapigia Magoti watawala waliolewa Ugimbi Nitazungumzia suala la kwanza. Baada ya Uchanguzi Mkuu wa 2010 kuna Majimbo ambayo...
  3. Polonium210

    Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi wa mashtaka ya uchochezi ya Mhe Godbless Lema

    Nashindwa kuelekwa hii post yangu ina uhusiano gani na "Taarifa ya CDM" mpaka thread ziunganishwa. Nashindwa
  4. Polonium210

    Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi wa mashtaka ya uchochezi ya Mhe Godbless Lema

    Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mkjini Mh. Gobbless Lema "Kwa Amri ya Mkuu wa Mkoa" kumesababishwa na sababu kuu mbili 1. Makundi ndani ya CCM 2. Kukataa kwa Lema kuwapigia Magoti watawala waliolewa Ugimbi Nitazungumzia suala la kwanza. Baada ya Uchanguzi Mkuu wa 2010 kuna Majimbo ambayo...
  5. Polonium210

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Mkuu Hapo kwenye Blue Rekebisha Human Audible range is 20Hz - 20KHz. Below 20Hz haya Masafa yanaitwa Infrasound
  6. Polonium210

    Tuition: Telecommunication basics

    Wadau wa Jukwaa hili nimeona si mbaya nikafungua huu uzi ili kwa wale wataalamu wa Mambo ya Mawasiliano Pepe (Telecommunications ) tuweze kushare Ujuzi na Maexperice tuliyo nayo ili Madogo waje Kuchota Ujuzi. Naandaa somo kuhusu Mambo yafutayo 1. What is Communications 2. Types of...
  7. Polonium210

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Mkuu pono MPEG 2 au MPEG 4 ni njia tu za Ku Compress information ili ziweze kupita kwa wingi katika Chanel finyu. MPEG 4 ni Improvement ya MPEG 2. Mkuu Kama unataka kununua king'amuzi nunua cha 1. DVB-T2 MPGE 4 Cause Ukiwa na MPEG 4 Unaweza kuona Matangazo yaliyofinyangwa ki MPEG2 and not...
  8. Polonium210

    ROSTAM AZIZI;Nina Miliki hisa 35% na Si 19% kampuni ya VODACOM.

    Ni Kweli Kabisa. Before Rostam alikuwa anamiliki 19% Peter Noni alikuwa anamiliki 16% sasa Rostam na Peter Noni wakauza Hisa Zao zote kwa Caspian Construction Co. LTD (Ambaye mnamjua mmiliki wake)
  9. Polonium210

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Mkuu Rubi Kwa Mujibu wa Maelezo kutoka kwa TCRA kupitia vipindi vyao vya Redio na Televisheni ni kwamba Mabadiliko haya hayahusu watumiaji wa Madishi. Kwa hiyo kama unatumia dish Mkuu tar 31/12/2012 lala usingizi wako Mnono kabisa wala huhitaji kufanya Mabadiliko yeyote Ila kwa wele wanaopata...
  10. Polonium210

    Utatambuaje kama TV yako ni ya Digital?

    Naona watu wanatoa Majibu yasiyoeleweka kwa Maswali ya Msingi Mkuu @Supervisor Nimejaribu kulijibu Swali lako katika huu Uzi unaweza pitia na kujifunza Mambo mengi zaidi GONGA HAPA
  11. Polonium210

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Utatambuaje kwamba TV yako ni ya Dijitali? Au labda niweke hivi, Je kuna Umuhimu wa Mtu sasa kukimbilia TV ya Dijitali kuliko Kin'gamuzi Naomba kwanza Nianze hivi 1. Fact 1 : - Flat Screen nyingi zilizoko Madukani be it Samsung Smart TV, Sony Bravia na Blah blah ni analogue kwa maana ya...
  12. Polonium210

    TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Watu wafupi huwa tunaweka Bidii Darasani ili kuficha Udhaifu wetu. Ni watu ambao tuna struggle kupata Pesa Mingi na huwa tunaopoa Mizigo ya Maana sana.
  13. Polonium210

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Zimebaki Siku 39 tisa tu kwa wale wanautumia Antena za CHADEAM, Mwiba wa Samaki, na Tubelight kuendelea kuona Matangazo ya Television hapa Tanzania. 01/01/2013 Kama hamtakuwa mmejitwalia Ving'amuzi basi Hamtaweza kuona Matangazo ya Televisheni.
Back
Top Bottom