Ni aibu kwa mtu mwe ufahamu mkubwa,kutumia akili kubwa kujibu jambo la zama za kale za mawe,pole kwa kuwa kinyumba cha pili cha mtu,endelea kujifariji kuwa kuna raha huko,maana hata mashetani kuwa motoni hujifariji kuwa ni raha,
The Tomorrow People
Hivi kuna pahala ktk maelezo yng nimetetea jambo hili?,soma vizuri nililoandika soma bila kusukumwa na hasira ya huyu ndg yako kuwa mtoto wa padri,hivi kusema kuzini ni dhambi ni kumtetea?,au ulitaka tutoe matusi ndo muone tunakemea,unaongea habari ya adhabu unejuaje km...
Padri kuzini ni kukiuka kiapo chake cha maisha ya useja,ni dhambi sawa na mwanandoa kuzini nje ya ndoa ni kinyume cha kiapo chake cha ndoa,ni dhambi,pia ni sawa na mtu yyte Anaezini, na hata mlooa au kuolewa bila ndoa ni wazinifu tu,hata ww ulozaliwa na wazazi ambao hawajafunga ndoa ww ni mtoto...
Kwa hiyo mkuu unataka kutuambia unawajua mapadri woooote kiasi unasema wote wanazini?,km kweli unawajua mpadri wote na tabiA zao dunia nzima basi unafaa kujiita nabii na fungua kanisa,hv hawa waume za watu wanaozini nao ni mapadri,punguza chuki,hakuna faida unapata kwa kusema uongo,sana sana...
crabat
Hv yule nabii wenu alo na kashfa ya kuvunja ndoa ya muimba gospel songs nae ni padri,au hajaoa?,unataka kusema hakuna wachungaji wenye wake wanaofanya uzinzi,na hakuna mashekhe tena wenye wake watatu na bado wanazini nje ya ndoa zao?
Uzinzi ni tabia ya ndani ya mtu na haisababishwi na...
Wapo walojifanya matowashi kwa ajili ya mungu,
Hayo ni baadhai ya mistari inayoongelea kuhusu kutooa,inakuaje useme ni agizo la kidunia,soma vzr maandiko utajua,paulo mwenyewe aliandika ni afadhari bikira akae km alivo bila kuoa,na akawasihi wanaume kuwa ni bora kutooa km yeye alivo iwapo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.