Recent content by politics

  1. P

    Mkuu wa wilaya Kilosa utambue hakuna wilaya ngumu Tanzania kama Kilosa. Unayoyafanya kijiji cha Mbigiri yatakugharimu

    Dua la kuku nani kakwamibia Wananchi hawampendi huyo Mwenyekiti wa CCM? Je, unafikiri nafasi yake ni uteuzi hivyo atenguliwe kama mteule? Narudia tena wewe una chuki binafsi na maslahi yako binafsi yameminywa na wachapa kazi #KaziIendelee
  2. P

    Mkuu wa wilaya Kilosa utambue hakuna wilaya ngumu Tanzania kama Kilosa. Unayoyafanya kijiji cha Mbigiri yatakugharimu

    Sheria ni msumeno na kama ushahidi upo Sheria ichukue mkondo wake kuliko kueneza chuki ya kuanzisha vurugu. Tuache wagogo wanasema "Hear Say"
  3. P

    Mkuu wa wilaya Kilosa utambue hakuna wilaya ngumu Tanzania kama Kilosa. Unayoyafanya kijiji cha Mbigiri yatakugharimu

    Ndugu andiko lako hata kama lina ukweli basi limeambatana na chuki. Sheria ni msumeno kwa nini useme mipaka itambuliwe lakini kwenye mashamba asiguse? Hapo ndipo penye chuki. Kumbuka hawa ma DC wanafanya kazi chini ya timu za wataalamu tena waliobobea katika utatuzi wa migogoro ya Ardhi. Muhimu...
  4. P

    Kwa umri wake, nadhani huyu ndio mrithi wa Dkt. Magufuli 2025

    Mhe. Balozi Emmanuel Nchimbi ndiyo chaguo lake!
  5. P

    Mtenda hutendwa! Tafakuri!

  6. P

    Je, hii ndiyo Sababu ya wanamuziki wakubwa wa Tanzania kuwa na Walinzi Binafsi?

    Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya...
  7. P

    GE2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

    Anapendwa na Wananchi au anapendwa na Wajumbe? Tafakari!
  8. P

    Kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi kuna cha kujifunza dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwa wanaharakati wetu wa Tanzania?

    Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua! Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
  9. P

    Jenerali Ulimwengu: Kusema kuwa Mungu amesaidia kupungua kwa Wagonjwa wa Corona ni Dhihaka kwa Mungu na ni Porojo

    Jenerali anataka atuaminishe tufike huko kwenye madeni ndiyo kusonga mbele pamoja kwa kuiga staili zao hao majirani??
  10. P

    Ni sahihi Mkuu wa Mkoa kumkejeli Rais wa nchi?

    Wewe mbona hukuanzisha uzi wako huo wakati Mhe. Rais wetu mpendwa alivyokejeliwa huko Kenya? Ondosha ukenya wako hapo. Wacha watanzania tupige Kazi, wataiga tu! Mabeberu yameshaanza kukiri Magufuli Baba lao!
  11. P

    Waziri Mkuu wa Uingereza akataa kulinganisha Data za Corona na Nchi nyingine Kimataifa

    Baada ya kuulizwa swali ni kwanini Uingereza imesimamisha kutoa Data kwa mlinganisho na Nchi nyingine Kimataifa, Waziri Mkuu katoa msimamo wa Uingereza kama Taifa. Wale wazee wa kulilia Data za Tanzania zitoke kama mashindano mpoooo?
Back
Top Bottom