Recent content by politic critic

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

    Historia nyingine inaenda kuandikwa siku ya jumapili tar 9/2.Kaa mkao wa kula uone vile Lowassa asivyokubalika ndani ya mkoa wa Arusha
  2. P

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    Ponda ni nani???
  3. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) H/SE NO 8.NHC STREET NGARENARO...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Njaa na ukosefu wa elimu inawamqliza wasanii wa Bongo movie
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tunakuhitaji Tanganyika.

    Tunakuhitaji sana.Ni wanasiasa wachache wenye upeo mkubwa kama Dr.Ni mwanasiasa makini na mwenye nia ya dhati na nchi hii
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

    Pimbi wewe...unangoja nini mamluki umeona mission yako imefail.Hatutaki mamluki chadema.Chadema iko juu na itaendelea kuwa juu
  7. P

    JamiiForums Tanzania KIKWETEISM: falsafa mpya na ya hatari

    M4C daima....Much love Chadema
  8. P

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Kikwete huyu leo ndie kafanya haya.

    Kwani hujui kazi ya ccm ni kutumia watu na mwisho kuwadump????------ kachefukwa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini nisimshukuru Mungu kwa uwepo wa CHADEMA ktk siasa za Tanzania?

    People'ssssssss.....Yaani Chadema ni raha.I love ths family
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa aibua vita mpya

    Kashindwa Monduli ataiweza Tanzania???
  11. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Wasanii wa bongo ni kama pad iliyotumika....Vibaraka ,wapuuzi,maushuzi ,mashauzi wanafatana kama mbuzi na lazima ccm iwatoe pumzi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aitikisha Kata ya Sombetini, Arusha.

    Hahaaa jana ilikua aibu kubwa....wakiamua kumalizia hasira zao ngome ya chadema.Tena kikao cha jana cha CCM mlikua na mkakati wa kywamwagia vijana wenu tomato kisha kuwanyoa nywele na kuwafunga bandeji ili msingizie wamepigwa na chadema.Ni hivi akibainika au kukamatwa mtu yeyote anayedanganya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tasnifu za Njano5: CHADEMA na haki, Dr. Kitila na "kweli"?

    @ Njano 5:umetoa hoja kistadi sana ila hujaenda streight katika msingi wa hoja.U ar beating around the bush.Unless kwa mtizamo wangu unataka kutuambia Kitila anampango w kuhamia chama kingine na anatafuta njia za kujipamba ili asionekane mchafu anakokwenda maana tayari ameanza kuona harufu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wa Tanzania kwa kuipa kisogo CHADEMA, chama cha kizandiki

    Hahaaa!!!!!!kumbe hata huelewi vizuri maana ya gender!!!!Na bila shaka wewe ni mgeni sana katika siasa za mabadiliko.1.Tambua mpiga kura mzuri katika hii nchi ni.mwanamke maana anapiga kura kwa moyo na ndio wanaofanya chadema izidi kushine, 2.Pili tambua,wanawake wamebadilika hawadanganywi tena...
Back
Top Bottom