Recent content by pokrei

  1. pokrei

    Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

    Jamani dhambiiii kha!!
  2. pokrei

    CCM Taifa, tunaomba muje muone anayoyafanya Tatu Pambe, Mwenyekiti wa Kimara King'ongo

    Mheshimiwa Polepole Nakuomba Sana tembelea mtaa Wa KING'ONGO Njia panda ya GOB Kimara kwa mwenyekiti aitwae Tatu Pambe. Mama huyu mara tu ya kuchaguliwa na kuwa mwenyekiti wa mtaa amekuwa mwiba na maumivu makali kwa wananchi wake. Mfano, amekuwa ni mtu asiyesikiliza ushauri wowote wa mtu...
  3. pokrei

    Anadai anachoka kunipa kila siku

    Weekend Mara tatu?aise we Ni noma mkuu
  4. pokrei

    Anadai anachoka kunipa kila siku

    Ni kweli anaweza akawa anachoka Kama binadamu Ila unaweza pia Anza kusoma Novels usiku hasa za biashara au za hadithi nzuri usingizi ukakupitia Au kwa pamoja mnunue karata za kucheza Kama last card ili kujikeep busy au Kama mnapoishi Kuna kauwanja au nafasi Mnatoka usiku mnakimbizana kimbizana...
  5. pokrei

    Sijui alikuwa jini au mtu?

    Ni biashara endelevu
  6. pokrei

    Sijui alikuwa jini au mtu?

    Duu mbona Kama umemchungukia kidizaini hivi kwema?
  7. pokrei

    Ni kweli baadhi ya watu hufungwa kuoa au kuolewa au hizi ni Nadharia?

    Msamehe bure Sent using Jamii Forums mobile app
  8. pokrei

    Ni kweli baadhi ya watu hufungwa kuoa au kuolewa au hizi ni Nadharia?

    Mbona ameongea vizuri tu? Amebishana kivipi,? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. pokrei

    Mandela na Winnie: Penzi lililodumu akiwa jela, likavunjika akiwa uraiani

    Ndio Sent using Jamii Forums mobile app
  10. pokrei

    Mandela na Winnie: Penzi lililodumu akiwa jela, likavunjika akiwa uraiani

    Siyo khaaa wewe hujawahi Soma hata Civics? Ni Graca Michael Sent using Jamii Forums mobile app
  11. pokrei

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Ina chuki Na klyn vp mnajuana kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. pokrei

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Watuna Data hii copy hata Regina Na Abidiel Na K_ylin hawana Mpaka wakagoogle nyie mnazo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom