Namba siwezi kuzifungua hapa mkuu...
Huu haukuwa MPANGO WA BIASHARA (business plan)
Business plan ndio inakuwa na kila ktu kuanzia marketing strategies hadi financial analysis..
Nimetoa mwanga wa namna ya nini nimekifanya..
nina system nzima...siwezi kufanya system bila ya namba
Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza
Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
kwani mv kazi...haipo siku hizi...?
kipindi natumia sana hivyo vivuko mv kazi kale kadogo dogo ni mwendo wa dkik 3 tu
..ila li mv magogoni ni dakika 7....
Habari.
Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa.
Nahitaji mawazo yenu.
Uijichanga ili upate fremu ya nn na wakati hauna biashara?
uliwaza kitu gani mpaka ukachukua hiyo fremu?
Hilo eneo ni la aina gani... barabara ya mtaani... barabara kuu?
je mazingira yaliyokuzunguka yana umaarufu wa biashara gani..
Unaweza ukaanzia na biashara maarufu za eneo hilo ila ukaileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.