JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Nawasalimu katika jina lipitalo majina yote, nimejichanga na kupata frem ya biashara.
Mwanzo nilipanga kufanya biashara ya nguo za kiume, nimegundua biashara hii ina mzunguko mdogo sana.
Naomba ushauri wa biashara yenye mzunguko mkubwa hata kama ina faida ndogo ndogo.