Wadau muhitaji wa Kontena la futi 40 liko Ununio karibu na shule ya sekondari ya Kiislamu (Ununio Islamic High School) ni High Cube na documents zote ziko vizuri. Bei million 4 (4M) na maongezi. Muhitaji ni PM tuongee Zaidi.
Shukuran
Bado sana tulidhani sasa hii tungekuwa serious kama wenzetu kwenye kutatua matatizo yetu kumbe bado....haya tusubiri nabii mwingine hii itaishia bla bla bla kama tulivyozoea.
Mama hebu wacha uwongo ndio maana hatuoni tofauti ya wasomi na majambazi au wezi wa mitaani kwetu elimu haisaidii cho chote. We kama kweli ungekuwa na nia njema mbona hatujasikia ukarudisha zile pesa au kuzitoa katika jambo zuri kama kujenga shule au kuchangia ujenzi wa barabara kwa mfano ile...
Ndugu kama haya tungeweza kuyafundisha mashuleni na kila Mwafrika awaye yote angejua na kuamini kuwa sisi sio Waarabu wala Wazungu na vitu kaam dini ni zao la Utamaduni na wala si ukweli thabiti (absolute truth) basi kungekuwa na tumaini kwa race ya mtu mweusi. Kinyume na hivyo miaka mingine 50...
Hahahahahaahahahahahahah miaka 55 mnajenga daraja moja na intersection kwenye barabara 1 halafu mnanukuu kuwa mmefanya kitu kweli sisi bado tunaishi kwa Bara la giza!!!! Wenzio wanafanya hayo miezi sita, wewe it takes you 55 years...???!!!! Hahahahahaah katika miaka 55 wenzio wana transform...
Watanzania tuna hamu ya ajenda za kutusisimua, jambo la kutufanya tukae vigenge kuongea lakini sio kuwa na nia ya mabadiriko ya kweli. Sijui, lakini naoan sasa tumempata kiongozi wa kutupa topic za kuongea kwenye mabasi na kwenye vigenge. Nimtumbue nisimtumbue....tumbua....wakati nchi nzima...
Spot on Mzalendo!! Hivyo hii ina maana tutayayushwa tu na itapita tu..? Ikiwa hivyo wale wakina Masamaki watajiona kama watoto yajima kwenye mfumo wetu huu wa utawala uliojaa selective justice (haki pendelevu/chaguzi).
In hati miliki. iko karibu sana Ununio Islamic High School mita kama 500 kutoka pwani na mita 500 kutoka barabara ya bagamoyo. Maji, umeme vipo karibu. Maeneo tulivu sana, yanafaa kwa familia. Muhitaji wa kweli tuwasiliane 0716 317555 bei maelewano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.