Athari walizoacha Wazungu na Waarabu zitatuathiri Miaka 1,000,000. Ijayo.

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,271
2,902
Moja ya walimu wangu ninao wakumbuka sana nlipokuwa nasoma A- Level ( nimemaliza mwaka 2003) Mkoa wa Pwani alikuwa ni Ustaadhi mmoja ambaye alikuwa ni mwalimu mzuri sana wa Kiswahili. Siku moja tulikaa tukiwa tunaongea naye sisi wanafunzi katika hiyo shule iliyopo Mkoa wa Pwani kabisa wenye tamaduni zote za mikoa hiyo ikiwa pamoja na kuoza watoto wakiwa wadogo, kuwaachisha shule mapema,kutoweka mkazo kwenye Elimu,kucheza ngoma kila wakati n.k aliamua siku hiyo kufunguka kwa uchungu sana.

akasema sisi tuna matatizo sana aliposema "sisi" nlitamani kumuuliza akina nani? lakini sikupenda kumuuliza swali hilo nikihofu pengine ningeweza kuharibu hali ya hewa na kusababisha asiseme alichotaka kusema. aliendelea kusema " NI UNAFIKI MKUBWA SANA KUMCHUKIA MZUNGU AU WATU WENYE ASILI YA HUKO" AKASEMA NI UNAFIKI NA TUTAENDA MOTONI. akasema unamchukia Mzungu. asilimia 90 ya vitu unavyotumia vina asili yake. alianzisha au anatengeneza yeye.

akasema simu,computer,OS kama si computer /laptop yenyewe, magari,nguo,fenicha nzuri,vifaa mbali mbali n.k vinatengenezwa na yeye. leo hii wewe unayesema ni mtu mbaya umefanya nini zuri kwa watu wako? akasema wakati sisi tukanaa kuozana watotot wa miaka 10 wenzetu wanwaepeleka shule. wanafungua shule,vyuo,hosp n.k akanambia asilimia 95 ya wakazi wa eneo hili ni dini yangu. lakini tunapata matibabu hospital ya Misheni ............ ambayo ni ya watu wa dini ile. akasema tukienda kule tunapata matibabu kama kawaida pasipo ubaguzi tena kwa malipo kidogo sana. ile hospitali ilijengwa na kanisa eneo ambalo wakazi wake hawafiki asilimia 10. ni kubwa ambayo hakuwa na haja kuijenga pale kwa kuwa si mkoa wenye Imani ya dini yao.

Tusiwasahau Waarabu pia, hawa walituletea tende na Viungo(spices huko zanzibar ) tusisahau walituleta utamaduni wao pia na dini yao pia. lakini tunasahau kuwa mwisho wa siku tunabaki kuwa waafrika .hata kwao wanatuchukulia hivyo. iwe ni ulaya,america,asia,uarabuni n.k tunabaki kuwa waafrika . nasi tunabaki kuwa tumetoka afrika. lakini wakituuliza tumeenda na nini huko? hatuna cha kuonesha. maana tumekuwa wanyongefu na watu wa kudharauliwa. tukubali tusikubali bado katika maisha waafrika tunabaki daraja la nne. 1. WAZUNGU 2, WAASIA 3. WAARABU, 4.WAAFRIKA

akaongea mengi mwishoni akasema hizi DINI ZISIWAPOFUE MACHO NA UFAHAMU WENU. nilianza kutafakari maneno yale kwa kiasi kikubwa. yule mwalimu alikuwa amevaa suruali yake ambayo si ndefu sana, sandals,amefuga ndevu kiasi na ni mtu wa sala nyingi tu. nlimwona alivyoumia sana kwa ule utafiti wake.

MIAFRIKA IMESHAZOEA KUTUMIKA KWA MASLAH YA WATU WENGINE.UKILIKUTA LIAFRIA LINAMTETEA MWARABU UTASEMA LINA UKOO AU NASABA NAYE. KUMBE LILIKUWA LITUMWA HAPO ZAMAN LINAMTETEA BWANA WAKE, UKILIKUTA LIAFRIKA LINAMTETEA MZUNGU UTASEMA LINA NASABA NAYE KUMBE LILITAWALIWA MIAKA ILE SASA LINAMTETEA MTAWALA WAKE
. Lakini tukubali wanayo mema na wanayo mabaya. Ni ngumu kujitenga na ULimwengu wa Kizungu kwa asilimia 70 ni ngumu. ila wakikosea tutawakosoa.
 
Ndugu kama haya tungeweza kuyafundisha mashuleni na kila Mwafrika awaye yote angejua na kuamini kuwa sisi sio Waarabu wala Wazungu na vitu kaam dini ni zao la Utamaduni na wala si ukweli thabiti (absolute truth) basi kungekuwa na tumaini kwa race ya mtu mweusi. Kinyume na hivyo miaka mingine 50 ijayo itatukuta bado tunahangaika na kutatua matatizo haya haya tuliyonayo wakati tunapata "uhuru". Waafrika wanadhana ya kufikiri jibu ni elimu lakini tu wavivu kufikiri nakujua kuwa hata elimu pia inahitaji kuchekechwa kukidhi mahitaji ya mazingira na mahitaji ya Kiafrika. Mwafrika hajiamini wala hajifahamu, matokeo yake tutaendelea kuwa vivuli daima dawamu. Labda lawama kwa Mungu alietuumba na kutuacha tunahangaika.
 
Back
Top Bottom