Recent content by podoziiiiike

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Hongera hakika unakitu kwenyw uelezeaji wa matukio na mpangilio anza kuamwandishi wa vtabua upo vzuri
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya utapeli mpya Dar kwa sasa

    Utapeli mwingine upo kwa mawakala wa Nmb Crdb mnapo fanya malipo hakikisha kiasi kwa kupatiwa risit ya mashine ya Bank husika now watu wanaibiwa sana
  3. P

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Tai kwenye mzoga

    Nisaidie nakipataje
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Bado tunaisubulia ile uliyoikatisha konda msafi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Konda msafi exposure ya S Afrika uliyoipata sio kwa faida yako tuu nasi tunahitaji kuisoma tupate mwanga japo kdogo leta vtu tusome
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Tanzania itajengwa na watanzania pia Tanzania itaibiwa na watanzania
  7. P

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya Mh. Kassim Majaliwa kuhusiana na Bwawa la Umeme la Nyerere

    Mayala kikwetu ni njaaa! kauli hii ilikunyamazisha kabisa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta kwa mke wa FFU

    Kama hamuezi leta stori nzima kwa wakat mmoja muache mnataka mtrend kama wasanii
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Asnte mzee tuandaliae uzi mwingine
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

    Wengi wetu tunaoana bellow 35 yrs kwa wanaume/mwanamke kusustain for 20 plus yrs a head ni ngumu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Taifa lishajengwa na Nyerere sie tunalipendezesha tuu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Kumekucha konda msafi hope uko poa ww na familia yako haya tunangoja episode
  13. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Konda msafi tupo online hatuna cha kufanya tupia episode tupete
Back
Top Bottom