Recent content by pmsuya

  1. P

    Wapentekoste washikana uchawi

    [/B] wewe usipenyeze chuki zako hapa wakati watu wako siriaz! kama huwapendi wapentecoste hapa si mahali pake! makanisa kama uyoga wewe yanakuuma nini? wanapiga mziki mnene wewe ulitaka wapige mwembamba? acha hizo! mbona huchukii bar zinazofunguliwa kila kukicha na wanakesha kwa makelele hadi...
  2. P

    Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

    mimi naamini Rais Hakuyapata majina hayo, angeyapata hangeacha kuteua mtu wa Mungu kuwakilisha Taifa.
  3. P

    Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

    "IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??" nimeipenda hiyo hapo juu. Lakini ukweli wa MUNGU kabisa kama kweli maaskofu wametumia mstari huo ku-justify tatizo hili naomba niwe wazi kabisa kuwa wamekosea saaaana na waombe radhi waumini wote wa...
  4. P

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    hiyo ni sawa iwe wazi ili waislamu nao wasionewe au kula vitu visivyo sawa katika imani zao!
  5. P

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    taja fulu jina!!
  6. P

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    wewe hujui unachokisema na husemi unachokijua!!! unasema ulichoambiwa! miaka 23 ya Nyerere hatukubaguana! tulikuwa tunakubali wenzetu wachinje cc tule! viongozi walikuwepo wa dini yenu lakini hawakuruhusu ujinga uingie akilini!!! je tabora mjini kuna watu wa imani gani wengi? je tanga mjini kuna...
  7. P

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    tunahitaji viongozi wenye hekima na busara nyingi wakati huu! nina mashaka na huyo aliyeamua kutoa amri bila kupima mshindo nyuma wa tangazo lake!! ni vema viongozi wakawa ni wale wanaojua maisha halisi ya watu!!
Back
Top Bottom