Mkuu upo pamoja na mimi.
Yaani urafiki na raia hamna kabisa.
Wenzetu wakimwona askari wanajuwa kuna amani lakini hawa wetu ukiwaona unakimbia.
Mungu awalaze pema peponi
Nenda baa kisha nenda jikoni wanakochoma nyama utapata majibu yako km moshi una madhara yoyote.
ushambiwa chura, nyoka, konokono na mbwa watu wanapiga.
Yani jamaa kashika breki kusema na binadamu anapiga pia.!!
Usalama wa taifa tena.
Nyimbo zake alisema amejitoa kafara.
Alafu akasema wakimuua wakamtupe daraja la mkapa.
Kumbe anatishia kujamba wakati anaharisha!
Sasa hiyo nayo unauliza ushauli.
kwa hiyo hazivui?
Km anavua basi kila akivua zichukuwe uzichome moto!
Au ziloweke!
Acha uchafu wewe.
Mi nakuona wewe ndio mchafu!!
Ukweli utabaki kuwa palepale.
Viongozi wote wa vyama vya upinzani wametokea CCM sasa itakuwaje wawe wapinzani wakati wamejifunza siasa kutoka CCM.
Upinzani wa kweli utakuja kwa vijana ambao wamezaliwa wakati vyama vingi vilipoanzishwa.
Mawazo mapya hakuna huko.
Kipindi kilichopo ni mandalizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.