Recent content by plo-lumumba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Bila wakoloni kuja kutawala Africa,Je Africa tungekuwa wapi leo?

    Ujue hata historia tunayoisoma ni wao wameandika. Ujue ubaya wote walioufanya hawawezi uandika. Waandishi wengi wa sasa wa kiafrika wanachikifanya ni kile tunakiita PARAPHRASING. lakini si kutoka na mawazo mapya yaliyotokana na ufikiri wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Bila wakoloni kuja kutawala Africa,Je Africa tungekuwa wapi leo?

    Tunaambiwa wakati wa slave trade wazungu walikuwa wananunua watu. Swali nani akiyekuwa anawauzia wazungu hao. Si wengine ni waafrika wenyewe machief wa kiafrika ndo walioanzisha biashara hiyo ya kibinadam. Swali linalopelekea kujiuliza kwa nini Afrikans ni masikini si kingine ni...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

    Moshi kitini 3500/=
  4. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi ni nani!?

    Utawala wa kisukuma huu tayari.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi ni nani!?

    Nilisukuma hilo angalia jina la mwisho tena la kinyamwezi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Shikamoo

    Thankx! nimeipenda sana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndio simu ya kwanza kutumika duniani

    Ukibadilika, watabadilika. Nyani ni walewale wanabadilisha misitu tu. Hatutafika sehemu yoyote kama tutaendelea kukumbatia vyama. Wenzetu wanajitambua ndio maana Ronald Reagan anasema "America well does what is in their best interest." Kigezo cha mtanzania kupata wadhifa lazima uwe mshirika...
Back
Top Bottom