Recent content by plo lumumba jr

  1. P

    JamiiForums Tanzania CCM inataka kumpora Mrema jimbo lake...ashitaki tena kwa spika.

    Ni zaidi ya mara mbili nasikia Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema akilalamika kuhusu kufanyiwa fitna na watu kwenye Jimbo lake la Vunjo, leo katika Kikao cha Bunge Dodoma amepewa nafasi tena.. kawasha kipaza sauti, kalalamika tena kuhusu anachofanyiwa Jimboni kwake. “ Mimi pale Jimbo la...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ashakum si matusi" Kuelekea uchaguzi october 2015...tusiwe na akili ya Nguruwe"

    hii thread ipelekwe jukwaa la mifugo
  3. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

    hivi wewe si kada maarufu wa ccm hapa jamvini
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wasira kutangaza nia ya Kugombea Urais katika Ukumbi wa BOT - Mwanza, leo

    no t.v anatangaza nia ya kugombea ubunge au ?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Zitto, unatuachaje?

    itabidi jf iweke kipimo cha ulevi kabla mtu.hajapost
  6. P

    JamiiForums Tanzania Zitto, unatuachaje?

    manu leka tutugite sijui leka nini sio maendeleo.....kuwaanzishia chama cha ACT je....si maendeleo hayo..!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naondoka Arusha bila kumuona Lowassa uwanjani Sheikh Amri Abeid

    LOwasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ............ jina linaloongoza kutajwa tanzania.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa amtisha Rais Kikwete

    lowassa atawafunga sana yeah ts true....na soon anatema ukweli wote
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    ushauri toka kwa bongo lala
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Warundi wanapenda kuwa wakimbizi?

    KUNA MDADA KAVAA MPAKA jezi Nyeupe ya TANZANIA
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz amekuja kumharibia Lowasa badala ya kumjenga

    nitajie huyo ambae sie fisadi ndani ya CCM
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    hapa hatuhitaji utafiti wa twaweza, siku zote magazeti yamekua yakieka habari zinazo uzika front page ili kuvutia wateja ukichunguza magazeti tangia lowassa aonyeshe nia ya kugombea amekua yeye tu akiongelewa na wananchi na ku-andikwa sana ukitofautisha na wagombea wengine. observe hata hapa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Lowassa ni hiki

    CosaNostra nakuamuru useme nani kakutuma ....
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni CUF: Maulid ambwaga Kambaya

    kala pina ndio nani hapo
Back
Top Bottom