Duh pole Kamanda Kambaya ndiyo gharama ya demokrasia hiyo.
Matokeo Jimbo la kinondoni
Maulid. 90
Kambaya. 61
Maulid ndiye muwakilishi wa ukawa kinondoni
Matokeo Jimbo la kinondoni
Maulid. 90
Kambaya. 61
Maulid ndiye muwakilishi wa ukawa kinondoni
ivi huyu ndo aliona wivu pale gazeti la mwananchi lilipolipoti kuwa kafulila anataka dr slaa awe rais
Ndiye huyo mkuu,Ni bahati mbaya kwa Cuf kuwa na msemaji kama huyo. Ni mropokaji fulani hivi....!!!
BACK TANGANYIKA
Kusema ukweli Kambaya simkubali hata kidogo.! Nashukuru watu wa Kinondoni kwa matokeo haya. Wish Kamati kuu Cuf itayazingatia.
BACK TANGANYIKA
Jamani hawa wanapitishwa na Cuf na sio UKAWA.Baada ya hapa,NCCR nao watakuja na mtu wao wakitaka,vilevile CHADEMA ili hatimaye kumpata mgombea ubunge.Kumbukeni haya majimbo bado ni tata,sio resolved bado.
Kambaya na Maulidi. Hebu fafanua maana haya majina yananpiga chenga. Hivi Maulidi Kambaya ni mtangazaji ee!