Recent content by Plato

  1. Plato

    Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

    Kilichotokea jana Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Profesa Mkumbo na Profesa Mkandala watuhumiana u-Nkurunzinza - Profesa Kitila Mkumbo ni Mwenyekiti wa UDASA, Chuo Kikuu cha DSM. Kwa sasa yupo likizo ya ndani ya kunoa ubongo maarufu kwa kimombo kama Local Sabbatical Leave...
  2. Plato

    Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

    Kilichotokea jana Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Profesa Mkumbo na Profesa Mkandala watuhumiana u-Nkurunzinza - Profesa Kitila Mkumbo ni Mwenyekiti wa UDASA, Chuo Kikuu cha DSM. Kwa sasa yupo likizo ya ndani ya kunoa ubongo maarufu kwa kimombo kama Local Sabbatical Leave...
  3. Plato

    CRDB nao hovyo

    Tangu juzi katika ATM za CRDB kila nikienda hakuna huduma...maeneo matatu tofauti..naona hela za mishahara ya serikali zimewalewesha kama ilivyokuwa NMB. Kama.hamuwezi kuendesha ATM mzitoe mitaani. Na hiyo ni Dar...sijui mikoani itakuwaje
  4. Plato

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    KUELEKEA UCHAGUZI MKUU; LIPUMBA ATAIFAA UKAWA KULIKO SLAA. Wakuu, leo naanza siku kwa tafakari muhimu hasa juu ya utata naojitokeza hasa juu ya mgombea gani upinzani anapaswa kupeperusha bendera ya UKAWA. Binafsi siamini kabisa kuwa ukawa wataingia uchaguzi mkuu wakiwa pamoja. uchambuzi huu...
  5. Plato

    Taarifa na maazimio ya kamati kuu ya act tanzania

    Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) ___________________________________ Msingi wa Mtafaruku uliosababishwa na Mwenyekiti wa Muda wa Taifa Ndugu Kadawi Lucas Limbu ________________________________________________________________ 1. Ndugu...
  6. Plato

    Simulizi ya maisha yangu

    Simulizi ya Ludovick Joseph ---- Kwa wafuatiliaji wa taarifa katika vyombo vya habari na hasa magazeti wanafahamu kuwa nimekuwa nikihusishwa na matukio kadhaa ya kisiasa na hatimaye pamoja na Lwakatare mkurungezi wa ulinzi wa CHADEMA Taifa, Tulifunguliwa mashitaka na kuwekwa gerezani ambapo...
  7. Plato

    Chadema kushindwa kusimamia agenda zao

    Nimetumia chadema kumaanisha upinzani pia. watu hawa ingawa hujifanya wana demokrasia, lakini matendo yao hayaendani na wanademokrasia wengine popote duniani. hapa kwetu pekee ndipo wachache wanataka watawale wengi.mifano imejaa.nitumie mmoja ambao umewafanya kituko. katiba mpya. wao wanataka...
  8. Plato

    CHADEMA huwalipa wanaoandamana

    Ndugu, naona niweke sawa jambo moja ambalo ------- wa CHADEMA wamekuwa wanalisema kupotosha umma. Hii picha ni siku Ludovick alipofunga ndoa Morogoro na hapo ni Morogoro Hotel mwaka 2012. kulia kwake ni msimamizi wa ndoa yake, bestman anaitwa Prosper Mbelwa. lakini viongozi wa CHADEMA na waongo...
  9. Plato

    Ofisi ya ACT-Tanzania Arusha yavunjwa na kuibiwa vifaa

    Wana JF, Tunawasalimia kwa salaam inayoashiria uwazi na mabadiliko. Jana, ofisi ya mkoa ya ACT-TANZANIA, Arusha iliyoko katikati ya jiji mkabala na shule ya msingi Levolosi imevunjwa na watu wasiofahamika na kuibwa baadhi ya nyaraka muhimu na mali nyingine. vitu vilivyoibiwa ni pamoja na, 1...
  10. Plato

    Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu na manaibu makatibu wakuu CHADEMA?

    Wakuu, john heche mwenyekiti wa vijana aliyemaliza muda wake, anaweza kuipasua chadema,ama kujiondoa kwenye chama hicho muda wowote. zitto kabwe alipofukuzwa uongozi, viongozi wa chadema walimuahidi heche kuwa ndiye atapewa unaibu katibu mkuu. ni kwa kutaka kuepusha mgogoro kule tarime kati...
  11. Plato

    Julieth Rushuli aenguliwa BAVICHA

    John mrema ametutangazia wajumbe jana usiku kwenye kikao.
  12. Plato

    Julieth Rushuli aenguliwa BAVICHA

    Wandugu, Julieth ameenguliwa kugombea umakamu mwenyekiti wa BAVICHA.Tuhuma zake ni kutumika na Shibuda na Zitto. Hata hivyo Julieth alikuwa akitumwa Shinyanga na chama kutokea idara ya sheria wakati ule wa kesi za Shibuda. Tuhuma ya pili ni kuwa alifoji kuwa diwani viti maalumu Karagwe...
  13. Plato

    Hashim Juma Issa kutoka Zanzibar ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA

    Yericko, anasema kila propaganda inajibiwa kidemokrasi? maana yake uchaguzi wa huyu muislamu ni kutaka kujibu propaganda ya ukristo kuliko uwezo. hapo umetoa taarifa bila kujijua. pia uchaguzi huu jana ulifutwa na kurudiwa mara mbili. mzee ntagazwa alishinda,akaambiwa kura hazijavuka asilimia...
  14. Plato

    Halima Mdee angejitoa uchaguzi BAWACHA

    Ben, Na wewe siku hizi umekuwa na mdomo wa kufyatua makombora ya matusi? nini kimekukuta? bado umelewa majonzi ya kuenguliwa bavicha na vihela ulivyounguza? on the serious note! hujamwelewa pasco.maana ameona na kupongeza angalizo langu.lipi hilo, kuwa hawa akina halima, kiwhelu ndo...
  15. Plato

    CHADEMA waumbuka mahakamani

    Utumbo ni upi sasa, na kwa nini chadema wanakuwa na hofu Ludovick anapoongea na media? wanaficha nini?
Back
Top Bottom