Chadema kushindwa kusimamia agenda zao

Chadema kushindwa kusimamia agenda zao

Miaka ya kuelekea 2010 ilikuwa na mvuto kiasi kwamba kuonesha dalili ya kuwa na chama kikomavu kingine cha siasa nchini.

Nasikitika kukiona sasa kinapoteza dira. Hii inasababishwa na kukosa mipango ya mda mrefu, kukosa ilani na kutokuwa na mtazamo wa kichama. Democrasia imekuwa jina tu ndani ya chama hicho huku kikiwafumba midomo watu wanaojaribu kuelezea hisia zao ndani na nje ya chama.

Kwa sasa kimepoteza mwelekeo na kurukia kila kinachoonekana mbele. Kilikuwa na mpango m4c, mpango umeishia kwenye kikapu na kuanza kurukia mambo ya UKAWA. Baada ya ukawa kuanza kutoa matamko yasiyo na tija nchini. matamko yasio itakia mema nchi yetu nzuri.

Ukikuta mtu anaanza kuropoka ropoka ujue ndio mwisho wake wa mawazo mbadala. Wabunge wote wa CHADEMA Dar es salaam hawatarudi bungeni. Sidhani kama Tumdu lisu nae ataingia mjemgoni.

Kimekosa mvuto na kutegemea huruma ya wananchi. Watu kuropoka ropoka huku mishipa imewasimama. Sugu na Msigwa hawata ingia tena mjengoni ndio kwa heri tena. Zitto Kabwe hagombei ubunge. Ndesabulo kazeeka. Mbowe atataka kugombea urais, Slaa atarudi kundini.

Labda atakaye baki Nasari.
 
Ujinga mwingine bwana, eti imepatikana, na wewe ni mtu mwenye akili timamu kweli? Kweli walimu wanakazi nzito kama na wewe ulishawahi kuwa mwanafunzi kwa akili hiyo. Na ukapewa mahitaji yote kama mtoto na mwanafunzi? Wazazi tunatakazi matumbo yetu na viuno vyetu na watoto wetu wapate uelewa hapa duniani.
 
Mmerudi na ngojera zenu baada ya kukimbizwa na mkutano mkuu!
 
Nimetumia chadema kumaanisha upinzani pia. watu hawa ingawa hujifanya wana demokrasia, lakini matendo yao hayaendani na wanademokrasia wengine popote duniani.
hapa kwetu pekee ndipo wachache wanataka watawale wengi.mifano imejaa.nitumie mmoja ambao umewafanya kituko. katiba mpya. wao wanataka kulazimisha wana akili kuliko wengine.wamekuwa wakisusasusa na kuchochea vurugu lakini wengi wamekataa kuwaunga mkono.
katika kutapatapa wakaitisha maandamano nayo wananchi wakakataa kuyaunga mkono.na wale vibaraka wachache wakapata kichapo cha polisi.tunamshukuru inspekta wa polisi mangu kwa kulinda uhai wa raia.
walitaka kuandamana bunge lisitishwe,wakakwama,sasa kichaa mwingine eti anaandamanisha wanawake kwenda ikulu? chapa bakora. anataka umaarufu tu huyu.
chadema,jengeni chama chenu nadhani wakati wa kutumia ukawa umeisha.kila mtu afanye kazi.
 
Rudi kwanza chekechea ujifunze kuandika!
 
Kiukweli nguvu ya uma imekufa imebaki stori
ushahidi ni kuwa chadema wako static na vipofu wasiotaka kubadilika. Kuna watu walitaka kusaidia kutransform chadema lakin hatimae walifukuzwa
viongozi wakakita mizizi na sasa hakuna alternative view kwa kuogopa kuitwa msaliti

tazama hii ni aibu kubwa
1.maandamano ya bawacha watu wasiozidi 20
2.maandamano bukoba watu wasiozidi 30
3.maandamano mtwara watu km 10
4 maandamano morogoro watu wasiozidi 20
POLISI WALIWEKA ULINZI MZITO WAKIAMINI CHADEMA INA NGUVU YA UMMA HIVO INGEKUA KAZI NGUMU KUWAZUIA

KILA MTU AMEIONA NGUVU YA UMMA. AMA KWELI PEOPLES POWERRRRRR.

Haya tumekusikia, tuacheni basi tuandamane kwa uhuru, sisi si wachache acheni kutisha watu na kuwaunga magerezani wakati hawazidi kumi!
 
Yani watu 3 halafu unadai unaandamana yan vichekesho

Mimi ninafikiri maandamano ni sehemu ya kutuma ujumbe kwani waandamanaji wanatakiwa wawe wangapi ili ya itwe maandamano?na kama maandamano yanatakiwa yawe na watu wengi ni kwa nini serekali ilitumia nguvu kubwa kudhibiti kitu ambacho hakikuwa maandamano na kuwaweka mahabusu watu ambao hawakuandamana?.
 
Kiukweli nguvu ya uma imekufa imebaki stori
ushahidi ni kuwa chadema wako static na vipofu wasiotaka kubadilika. Kuna watu walitaka kusaidia kutransform chadema lakin hatimae walifukuzwa
viongozi wakakita mizizi na sasa hakuna alternative view kwa kuogopa kuitwa msaliti

tazama hii ni aibu kubwa
1.maandamano ya bawacha watu wasiozidi 20
2.maandamano bukoba watu wasiozidi 30
3.maandamano mtwara watu km 10
4 maandamano morogoro watu wasiozidi 20
POLISI WALIWEKA ULINZI MZITO WAKIAMINI CHADEMA INA NGUVU YA UMMA HIVO INGEKUA KAZI NGUMU KUWAZUIA

KILA MTU AMEIONA NGUVU YA UMMA. AMA KWELI PEOPLES POWERRRRRR.

Wapo mamilioni na mamilioni ya wana CHADEMA ambao wanaandamana bila kuingia barabarani kama wewe unavyofikili kuwa kuandamana ni lazima uonekane barabarani.
 
Back
Top Bottom