Ni course nzuri sana in terms of payment. Wataalamu kwenye hii fani wanaongoza kwa kulipwa mishahara mikubwa sehemu yeyote duniani. Ila tatizo kwasasa ulimwengu unabadilika, kutoka kwenye matumizi ya mafuta/gesi kwenda kwenye renewable energy. Ingekuwa ni kumshauri ningemshauri asome renewable...
Hey... Pole mkuu. Hayo ndio maisha, na hayo ndio mapenzi. Najua kuwa amekuumiza lakini haikuwepo uradhimu wa kumpeleka mahakamani. Hiyo kesi ifute, sahau, Cheka na endelea na maisha. Ni vitu vya kawaida hivyo hata visikuumize kichwa. Binadamu wote duniani hapa tunapita. Siku ukija kujua dhumuni...
Jaribu kutumia sumaku, unakuwa unaipitisha karibu na kioo wakati umeiwasha Tv. Mara nyingi wino ukiwa umesambaa kwenye TV hiyo hapo ndio njia ya kuuondoa. So i hope itakuwa ni wino ila km ni inside crack basi hapo sijui.
58mins ago, na nimekuwa mtu wa kwanza kureply. Aisee kweli watu hatujui vitu muhimu vya kujadili. Laiti kama ungekuwa umeandika kuhusu mambo ya mapenzi nk ungekuwa umepata replies nyingi Kwa mda huu mchache.
Umeongea ukweli sana. Hili suala la ajali huwa linanichukiza sana na mbaya zaidi vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.